ZITTO AWABWAGA CHADEMA MAHAKAMANI
![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R0qbajhq766P24tX0dpu3RhxwmtVdvIDfnRD45IKQpnHa3U6c4h6DgDlulwzIBMMsMp1jUMY2L7abzQFKhxsWS2/ZittoKabwe.jpg?width=650)
Zitto Kabwe. Nimeomba mahakama kuzuia kamati kuu ya chama changu kunijadili mpaka rufaa yangu isikilizwe na Baraza Kuu la chama. Sijaomba kuzuia kamati kuu kuendelea na kikao chake. Nimeomba kamati isinijadili maana nina rufaa kwenda Baraza Kuu kwa jambo hilo hilo ambalo kamati kuu inataka kuliamulia. Wakili wa chama Tundu lissu aliweka mapingamizi akisema mahakama haina mamlaka kujadili masuala ya vyama na wanachama wao. Jaji...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Jan
Zitto aibwaga Chadema mahakamani
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kamati Kuu ya Chadema kutojadili suala la uanachama wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto katika mkutano utakaofanyika leo Dar es Salaam.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
CHADEMA YAMBWAGA ZITTO MAHAKAMANI
10 years ago
Mwananchi10 Mar
Chadema yambwaga zitto Kabwe Mahakamani
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Zitto aibuka kidedea mahakamani
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Mbowe kumburuza Zitto mahakamani
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anakusudia kumburuza mahakamani, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa madai ya kumkashifu na kumchafulia jina. Kwa mujibu wa taarifa...
11 years ago
GPLZITTO AWEKA PINGAMIZI MAHAKAMANI
10 years ago
Dewji Blog10 Sep
IPTL, wengine wawili wamburuza Zitto mahakamani
.Wadai fidia ya shilingi bilioni 500
Na Mwandishi Wetu
Kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na wadai wengine wawili wamefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu dhidi ya Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Bw. Zitto Kabwe na wengine wawili wakitaka kulipwa fidia ya Shilingi bilioni 500 kwa kashfa alizotoa kimaandishi dhidi yao.
Mbali na IPTL, wengine waliofungua kesi hiyo mnamo tarehe 4, Septemba kupitia wakili Melchisedeck Lutema wa Asyla Attorneys na Kay...
10 years ago
Mwananchi02 Jul
Chadema yaibwaga CCM mahakamani
9 years ago
Habarileo04 Nov
Chadema kumpinga Bashe mahakamani
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilaya ya Nzega mkoani Tabora kimetangaza kwenda mahakamani kupinga matokeo yaliyompatia ushindi Mbunge wa jimbo la Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM).