ZITTO AWEKA PINGAMIZI MAHAKAMANI
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Chadema, Zitto Kabwe. Mbunge wa Kigoma Kaskazini Chadema, Zitto Kabwe ameweka pingamizi mahakamni kuzuia kikao cha Kamati Kuu kesho. Hoja yake ni kupinga kuitisha kamati kuu kabla shauri lake kusikilizwa na Baraza Kuu.Anadai anataka mahakama iagize kamati kuu kutojadili suala lake mpaka baraza kuu likae kuamua rufaa yake.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania10 Apr
Kigogo Escrow kuwasilisha pingamizi mahakamani
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imekwama kumsomea maelezo ya awali Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA), Philip Saliboko kwa sababu inadai kuna ukiukwaji wa kikatiba.
Wakili wa Takukuru, Leonard Swai alitakiwa kumsomea maelezo ya awali mshtakiwa huyo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba.
Swai, alidai walikuwa tayari kumsomea mshtakiwa...
11 years ago
GPL06 Jan
KUTOKA MAHAKAMA KUU BAADA YA HUKUMU YA PINGAMIZI LA ZITTO KUAIRISHWA
11 years ago
GPLTASWIRA KUTOKA MAHAKAMA KUU WAKATI WA KUSIKILIZWA PINGAMIZI LA ZITTO KABWE
10 years ago
Michuzi04 Sep
Naibu Mwanasheria Mkuu amewasilisha Mahakamani pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, leo amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwamba maombi hayo ni batili kisheria na hayawezi kuthibitishwa mahakamani, hivyo yatupiliwe mbali.
Masaju amewasilisha pingamizi hilo akitoa sababu nne, akiitaka mahakama kutupilia mbali maombi yaliyopo...
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Zitto aibuka kidedea mahakamani
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Apuk65MO0R0qbajhq766P24tX0dpu3RhxwmtVdvIDfnRD45IKQpnHa3U6c4h6DgDlulwzIBMMsMp1jUMY2L7abzQFKhxsWS2/ZittoKabwe.jpg?width=650)
ZITTO AWABWAGA CHADEMA MAHAKAMANI
11 years ago
Habarileo03 Jan
Zitto aibwaga Chadema mahakamani
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kamati Kuu ya Chadema kutojadili suala la uanachama wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto katika mkutano utakaofanyika leo Dar es Salaam.
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Mbowe kumburuza Zitto mahakamani
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anakusudia kumburuza mahakamani, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa madai ya kumkashifu na kumchafulia jina. Kwa mujibu wa taarifa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
CHADEMA YAMBWAGA ZITTO MAHAKAMANI