Kigogo Escrow kuwasilisha pingamizi mahakamani
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imekwama kumsomea maelezo ya awali Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA), Philip Saliboko kwa sababu inadai kuna ukiukwaji wa kikatiba.
Wakili wa Takukuru, Leonard Swai alitakiwa kumsomea maelezo ya awali mshtakiwa huyo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba.
Swai, alidai walikuwa tayari kumsomea mshtakiwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLZITTO AWEKA PINGAMIZI MAHAKAMANI
10 years ago
Mwananchi26 Oct
CAG aagizwa kuwasilisha ripoti ya Escrow
10 years ago
Vijimambo11 Mar
Kigogo mwingine ajikanyaga Escrow.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/james-10March2015.jpg)
Fedha hizo, ambazo anadaiwa kuingiziwa na Rugemalira katika akaunti yake iliyofunguliwa katika Benki ya Biashara ya Mkombozi tawi la St. Joseph, jijini...
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Kigogo TCAA aingia mtandao wa Escrow
Na Aziza Masoud,Dar es Salaam
BARAZA ya Maadili jana lilimuhoji Mkurugenzi Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Dk. James Diu, kwa tuhuma za kuomba, kudai fadhila za uchumi.
Kigogo huyo anadaiwa kupokea Sh milioni 80.8 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited, James Rugemalira .
Mahojiano hayo ni muendelezo wa utetezi wa watumishi na viongozi wa umma wanaodaiwa kupata mgao kutoka katika kampuni hiyo kupitia akaunti ya Tegeta Escrow.
Dk. Diu...
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Kigogo Ikulu aburuzwa Madili kwa Escrow
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIGOGO wa Ikulu (Mnikulu), Shabani Gurumo, amelishangaza Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kusema hakufahamu sababu za kuwekewa kiasi cha Sh 80,850,000 kwenye akaunti yake.
Mnikulu huyo alipinga madai ya yeye kupewa fedha na Kampuni ya VIP Engineering ila alipewa na James Rugemalira kutokana na urafiki wao walionao kwa muda wa miaka 10 na hazihusiani na mgawo.
Alisema wakiwa katika mazungumzo na rafiki yake Rugemalira, alipewa maelezo...
10 years ago
Mtanzania06 Mar
Kigogo Rita atumia mgongo wa Chenge kukwepa Escrow
FREDY AZZAH NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
OFISA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufilisi na Udhamini (Rita), Philip Saliboko, anayetuhumiwa kupata mgawo wa Sh milioni 40 za Akaunti ya Tegeta Escrow, ametumia mbinu zilizotumiwa na Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM), kukwepa kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya Chenge kukataa kuhojiwa na Baraza hilo Februari 25, mwaka huu, akisema kuna zuio la Mahakama Kuu linalokataza suala hilo...
10 years ago
Vijimambo01 Jan
SHEREHE YA ‘ESCROW’ NOMA, WATOTO WA KIGOGO WAFANYA BETHIDEI YA MAMILIONI
MSHANGAO!
WAKATI dunia ikiingia Mwaka Mpya wa 2015, taarifa ikufikie kwamba kigogo mmoja ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar amewaangushia wanaye, Hassan na Khadija Dilunga sherehe ya kuzaliwa ambayo imepachikwa jina la ‘Escrow’ kufuatia kufuru ya fedha iliyooneshwa na wahusika hivyo kuwa ndiyo gumzo la mjini kwa wikiendi iliyopita.
Sherehe hiyo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Tower jijini Dar juzi ambapo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f3Cpy2Teci2nSwPtmwnla51z3RM8HxKNhoL3ZiqLfPjssaH-MLAexa3YYL3kJPpqFiEOyHIzFC59g2Afj*pNKia74IRZ7wzq/FRONTPAGEAMANI.jpg?width=650)
SHEREHE YA ‘ESCROW’ NOMA, WATOTO WA KIGOGO WAFANYA BETHIDEI YA MAMILIONI
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Sakata la Escrow baadhi mahakamani