Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE YA ‘ESCROW’ NOMA, WATOTO WA KIGOGO WAFANYA BETHIDEI YA MAMILIONI

Stori: Hamida Hassan WAKATI dunia ikiingia Mwaka Mpya wa 2015, taarifa ikufikie kwamba kigogo mmoja ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar amewaangushia wanaye, Hassan na Khadija Dilunga sherehe ya kuzaliwa ambayo imepachikwa jina la ‘Escrow’ kufuatia kufuru ya fedha iliyooneshwa na wahusika hivyo kuwa ndiyo gumzo la mjini kwa wikiendi iliyopita. Bethidei ya Hassan na Khadija Dilunga wakiwa na makapu ya fedha....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA ‘ESCROW’ NOMA, WATOTO WA KIGOGO WAFANYA BETHIDEI YA MAMILIONI

Bethidei ya Hassan na Khadija Dilunga wakiwa na makapu ya fedha.
MSHANGAO!
WAKATI dunia ikiingia Mwaka Mpya wa 2015, taarifa ikufikie kwamba kigogo mmoja ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar amewaangushia wanaye, Hassan na Khadija Dilunga sherehe ya kuzaliwa ambayo imepachikwa jina la ‘Escrow’ kufuatia kufuru ya fedha iliyooneshwa na wahusika hivyo kuwa ndiyo gumzo la mjini kwa wikiendi iliyopita.
Sherehe hiyo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Tower jijini Dar juzi ambapo...

 

11 years ago

GPL

KIGOGO WA WEMA NOMA!

Stori: Imelda Mtema
NOMA sana! Baada ya kupigwa cha mbavu (kuachwa) na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu huku akimnyang’anya vitu vyote vya ofisini, yule kigogo wa ikulu, Clement a.k.a CK, hivi sasa anadaiwa kutoka na shosti wa staa huyo, Naima Shaa. Naima Shaa. Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti namba moja la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda, Naima anatamba na kuwapiga vijembe wasichana wa mjini kuwa anatoka na...

 

10 years ago

GPL

ULEVI NI NOMA BINTI WA KIGOGO AFANYIWA MBAYA

Stori: Richard Bukos
ULEVI noma! Ndivyo unavyoweza kusema kuhusu kilichomtokea mtoto wa kigogo mmoja aishie Masaki ambaye alijikuta akifanyiwa kitu mbaya ndani ya maji kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Coco jijini Dar, Jumamosi iliyopita. Binti akijiachia na njemba huyo baada ya kupiga urabu wa kutosha. Kabla ya tukio hilo, inadaiwa kuwa dada huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, alikesha katika klabu...

 

10 years ago

GPL

SHEREHE YA BETHIDEI YA DIAMOND PLATINUMZ GOLDEN JUBILEE, DAR

Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ akiwa na mpenzi wake, Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ ndani ya Golden Jubilee usiku wa kuamkia leo. Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akifanya yake.…

 

10 years ago

Vijimambo

Kigogo mwingine ajikanyaga Escrow.

Mkurugenzi Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), Dk. James Benedict Diu (pichani), amekiri kupokea mgawo wa zaidi ya Sh. milioni 80.8 kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited, James Rugemalira, huku akitoa maelezo yanayokinzana kuhusu sababu za kupewa fedha hizo pamoja na matumizi yake.

Fedha hizo, ambazo anadaiwa kuingiziwa na Rugemalira katika akaunti yake iliyofunguliwa katika Benki ya Biashara ya Mkombozi tawi la St. Joseph, jijini...

 

10 years ago

Mtanzania

Kigogo TCAA aingia mtandao wa Escrow

Pg 4Na Aziza Masoud,Dar es Salaam
BARAZA ya Maadili jana lilimuhoji Mkurugenzi Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Dk. James Diu, kwa tuhuma za kuomba, kudai fadhila za uchumi.
Kigogo huyo anadaiwa kupokea Sh milioni 80.8 kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Limited, James Rugemalira .
Mahojiano hayo ni muendelezo wa utetezi wa watumishi na viongozi wa umma wanaodaiwa kupata mgao kutoka katika kampuni hiyo kupitia akaunti ya Tegeta Escrow.
Dk. Diu...

 

10 years ago

Mtanzania

Kigogo Escrow kuwasilisha pingamizi mahakamani

salibokoNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imekwama kumsomea maelezo ya awali Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini Tanzania (RITA), Philip Saliboko kwa sababu inadai kuna ukiukwaji wa kikatiba.

Wakili wa Takukuru, Leonard Swai alitakiwa kumsomea maelezo ya awali mshtakiwa huyo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mjini Dar es Salaam mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba.

Swai, alidai walikuwa tayari kumsomea mshtakiwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Kigogo Ikulu aburuzwa Madili kwa Escrow

mnikuluNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KIGOGO wa Ikulu (Mnikulu), Shabani Gurumo, amelishangaza Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kusema hakufahamu sababu za kuwekewa kiasi cha Sh 80,850,000 kwenye akaunti yake.
Mnikulu huyo alipinga madai ya yeye kupewa fedha na Kampuni ya VIP Engineering ila alipewa na James Rugemalira kutokana na urafiki wao walionao kwa muda wa miaka 10 na hazihusiani na mgawo.
Alisema wakiwa katika mazungumzo na rafiki yake Rugemalira, alipewa maelezo...

 

10 years ago

Vijimambo

Askofu aeleza alivyoingiziwa mamilioni ya Escrow

Ziliwekwa akaunti binafsi, adai ni za kanisaAskofu Nzigilwa.
Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Eusebius Nzigilwa, amevunja ukimya kuhusu mgao wa Sh. milioni 40 alioupata kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VIP Engineering & Marketing Limited, James Rugemalira.

Ukimya wa Askofu Nzigilwa unatokana na sakata la uchotwaji wa zaidi ya Sh. bilioni 300 kutoka akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Akaunti hiyo ilifunguliwa baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani