ULEVI NI NOMA BINTI WA KIGOGO AFANYIWA MBAYA
![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAHNZbBotYKNVlfj3*o7CXXMLO-Ir3h19NwbW-fSOXB3mW87JbRaYFprpkN4js*KlfqfTIcE*l4F6L1XIChbn*pc/BACKAMANI.gif?width=650)
Stori: Richard Bukos ULEVI noma! Ndivyo unavyoweza kusema kuhusu kilichomtokea mtoto wa kigogo mmoja aishie Masaki ambaye alijikuta akifanyiwa kitu mbaya ndani ya maji kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi, eneo la Coco jijini Dar, Jumamosi iliyopita. Binti akijiachia na njemba huyo baada ya kupiga urabu wa kutosha. Kabla ya tukio hilo, inadaiwa kuwa dada huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, alikesha katika klabu...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Ulevi noma
Konda huyo akiwa amelewa chakali.
Mashaka Kisusi, Mwanza
CHAPOMBE! Kondakta wa daladala moja la Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza amejikuta akiponzwa na ulevi baada ya bosi wake kuamua kumfukuza kazi mara moja, kufuatia kulewa akiwa kazini na kushindwa kufanya kazi, Risasi Jumamosi linaripoti.
Tukio hilo lilitokea mchana wa Jumatano iliyopita katika mnada wa Masasi wilayani Misungwi mkoani hapa, wakati kondakta huyo alipokuwa katika foleni ya kupakia abiria na kuamua kunywa pombe ya viroba...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2L4V0v6zF6dm1oe8xQ6FoLbE77LmjW2eKnGBEjfkfb2*EYB5*JYd8FVPM2X0W6sY2FYDlA2nj3*pzpG3M-1x749/wema.jpg?width=650)
KIGOGO WA WEMA NOMA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QFZtM12iNiA5Zh9gxST4p5MM5hopoD4HN0Ea8aedWTrj9G-74mmVAxM*pqfTnMxsY-dK390sBmH0IDNeGUfytK2atKs82yMN/IMG20150304WA0005.jpg?width=650)
MREMBO AFANYIWA KITU MBAYA
10 years ago
Vijimambo01 Jan
SHEREHE YA ‘ESCROW’ NOMA, WATOTO WA KIGOGO WAFANYA BETHIDEI YA MAMILIONI
MSHANGAO!
WAKATI dunia ikiingia Mwaka Mpya wa 2015, taarifa ikufikie kwamba kigogo mmoja ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar amewaangushia wanaye, Hassan na Khadija Dilunga sherehe ya kuzaliwa ambayo imepachikwa jina la ‘Escrow’ kufuatia kufuru ya fedha iliyooneshwa na wahusika hivyo kuwa ndiyo gumzo la mjini kwa wikiendi iliyopita.
Sherehe hiyo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Tower jijini Dar juzi ambapo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLtNTwfA9MS2B7-8rLVWSU9TGxC4Y3pDVtN5qLWSPPCTgKvp3r1dHo-yEUFq9fhJg3RNQtK-P*3IXkDLaEnJIVL/GHNH.jpg)
NISHA AFANYIWA KITU MBAYA NA VIBAKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-0cVXC43YP3-UOa1aItHmQa9ofAfUmJd0pk4P6Q6P3moC2iJ00frPtSaTPyyX-eFDRvlGy8YpPPclMpykKgmI*k/SARA.jpg?width=650)
SARA MVUNGI AFANYIWA KITU MBAYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpxo4DI5pn72cjfQTyUiYMbG5COY*pYuzDQzoxuVMovEgsm9tS73Y2BNL*tEh2AmmiIqYiNifc8wZc58iSbKRq3F/mwanamuziki.jpg?width=650)
MWANAMUZIKI FM ACADEMIA AFANYIWA KITU MBAYA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZlBJL*XyKT0pPONW5Yrdgvb029hOzCDJvaruqcJ7ZKmnNg3EVuK60YH7PRzdHg8qmY0tURKQ7DUJkxTfcrunLwl*lNqb5Atv/aisha.jpg)
AISHA MADINDA AFANYIWA KITU MBAYA UARABUNI