KIGOGO WA WEMA NOMA!
![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2L4V0v6zF6dm1oe8xQ6FoLbE77LmjW2eKnGBEjfkfb2*EYB5*JYd8FVPM2X0W6sY2FYDlA2nj3*pzpG3M-1x749/wema.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema NOMA sana! Baada ya kupigwa cha mbavu (kuachwa) na Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu huku akimnyang’anya vitu vyote vya ofisini, yule kigogo wa ikulu, Clement a.k.a CK, hivi sasa anadaiwa kutoka na shosti wa staa huyo, Naima Shaa. Naima Shaa. Kwa mujibu wa chanzo makini cha gazeti namba moja la burudani Bongo, Ijumaa Wikienda, Naima anatamba na kuwapiga vijembe wasichana wa mjini kuwa anatoka na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R5SqbRTCmAHNZbBotYKNVlfj3*o7CXXMLO-Ir3h19NwbW-fSOXB3mW87JbRaYFprpkN4js*KlfqfTIcE*l4F6L1XIChbn*pc/BACKAMANI.gif?width=650)
ULEVI NI NOMA BINTI WA KIGOGO AFANYIWA MBAYA
10 years ago
Vijimambo01 Jan
SHEREHE YA ‘ESCROW’ NOMA, WATOTO WA KIGOGO WAFANYA BETHIDEI YA MAMILIONI
MSHANGAO!
WAKATI dunia ikiingia Mwaka Mpya wa 2015, taarifa ikufikie kwamba kigogo mmoja ambaye ni mfanyabiashara maarufu jijini Dar amewaangushia wanaye, Hassan na Khadija Dilunga sherehe ya kuzaliwa ambayo imepachikwa jina la ‘Escrow’ kufuatia kufuru ya fedha iliyooneshwa na wahusika hivyo kuwa ndiyo gumzo la mjini kwa wikiendi iliyopita.
Sherehe hiyo ilichukua nafasi kwenye Ukumbi wa Msasani Tower jijini Dar juzi ambapo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f3Cpy2Teci2nSwPtmwnla51z3RM8HxKNhoL3ZiqLfPjssaH-MLAexa3YYL3kJPpqFiEOyHIzFC59g2Afj*pNKia74IRZ7wzq/FRONTPAGEAMANI.jpg?width=650)
SHEREHE YA ‘ESCROW’ NOMA, WATOTO WA KIGOGO WAFANYA BETHIDEI YA MAMILIONI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcLd29QxnZcOeqCh*ffCzi0-zliojAX9TiI9WyyfiKltzCDDsTQU5N98hE3un-D*IfnYtLQJ0N45NCRqRB7dPSul/Wema.gif?width=650)
KIGOGO WA WEMA KORTINI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r-AKLIegGYmyALpTDbzzSwyFjnI6yCS3LIH8RP5XLNcIaP*W7ZHpjUWf53Dj7PxF3DZwcTGO3PGmqlYVqXNwFb/kigogo.jpg?width=650)
KIGOGO WA WEMA ATANGAZA VITA NA DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDJ1AxM30qrOZWwQz1EYXtyv-36NrKDLEkQ77thGg8LbPNO122QCUL3kYYR8hUQ6cVRyJi6evvNH8NDeTRp9MpBZ/noma.jpg)
FIESTA 2014: KAMA NOMA NA IWE NOMA!
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WMqLlgPTTIc/VC_cxr23jyI/AAAAAAAGnus/qOjMUmKjzaA/s72-c/DSCF9279.jpg)
DUUUH.... NOMA!!
![](http://2.bp.blogspot.com/-WMqLlgPTTIc/VC_cxr23jyI/AAAAAAAGnus/qOjMUmKjzaA/s1600/DSCF9279.jpg)
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Ulevi noma
Konda huyo akiwa amelewa chakali.
Mashaka Kisusi, Mwanza
CHAPOMBE! Kondakta wa daladala moja la Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza amejikuta akiponzwa na ulevi baada ya bosi wake kuamua kumfukuza kazi mara moja, kufuatia kulewa akiwa kazini na kushindwa kufanya kazi, Risasi Jumamosi linaripoti.
Tukio hilo lilitokea mchana wa Jumatano iliyopita katika mnada wa Masasi wilayani Misungwi mkoani hapa, wakati kondakta huyo alipokuwa katika foleni ya kupakia abiria na kuamua kunywa pombe ya viroba...