KIGOGO WA WEMA KORTINI
![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcLd29QxnZcOeqCh*ffCzi0-zliojAX9TiI9WyyfiKltzCDDsTQU5N98hE3un-D*IfnYtLQJ0N45NCRqRB7dPSul/Wema.gif?width=650)
Haruni Sanchawa Makongoro Oging’ Jamaa aliyewahi kudaiwa kuwa karibu na mwigizaji Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la Clement Mwankayi Kiondo ‘CK’ au Kigogo wa Wema na mwenzake, Emmanuel Kagondela wamepandishwa kortini kwa mashitaka mawili ya kughushi hundi kisha kuchota fedha. Clement Mwankayi Kiondo ‘CK’ akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi. Wawili hao walipandishwa kizimbani juzi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-x_GmgaUMr2E/U-x2J2VVSOI/AAAAAAAABew/R3vs9Go2OmU/s72-c/bize.jpg)
Kigogo Maliasili aburutwa kortini
NA FURAHA OMARY
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imempandishwa kizimbani Ofisa Mhifadhi Wanyamapori wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Richard Nchasi, kwa madai ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri kwa kutoa hati za uwindaji wa wanyama.
Nchasi alifikishwa jana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka manne ya kutumia nyaraka kumdanganya mwajiri na kuisababishia wizara hiyo hasara ya dola za Marekani 1,860 (sh. 2,976,000).
![](http://2.bp.blogspot.com/-x_GmgaUMr2E/U-x2J2VVSOI/AAAAAAAABew/R3vs9Go2OmU/s1600/bize.jpg)
11 years ago
Uhuru Newspaper23 Jul
Kigogo kortini kwa uhujumu uchumi
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoa wa Mbeya, imempandisha kizimbani, Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya Mbeya, Gerishon Bwire.
Bwire anakabiliwa na makosa matatu tofauti, ambayo ni kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri wake, ubadhirifu na kuisababishia hasara mamlaka.
Mwendesha mashitaka wa TAKUKURU, Nimrod Mafwele, alidai mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa Mbeya, James Mhanusi, kuwa Bwire alifanya makosa hayo Mei mwaka jana,...
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Kigogo CCM kortini kwa kulawiti wanawe
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2L4V0v6zF6dm1oe8xQ6FoLbE77LmjW2eKnGBEjfkfb2*EYB5*JYd8FVPM2X0W6sY2FYDlA2nj3*pzpG3M-1x749/wema.jpg?width=650)
KIGOGO WA WEMA NOMA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r-AKLIegGYmyALpTDbzzSwyFjnI6yCS3LIH8RP5XLNcIaP*W7ZHpjUWf53Dj7PxF3DZwcTGO3PGmqlYVqXNwFb/kigogo.jpg?width=650)
KIGOGO WA WEMA ATANGAZA VITA NA DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uScvPJfqg64Iworr2E0gxVlxjHF-YRGTNFOEYyGtedQrvnNBFFq687fHDghJxUGHoiZAlEVaxIGly58wHtvnlubCW/WEMA.jpg)
WEMA KORTINI TENA!
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Irene Uwoya Aumizwa na Maneno ya Wema, Ampongeza Wema kwa Moyo Wakishujaa
“Minashindwa kuwaelewa watu ni kwanini mnapenda sana kutaka kutoa kibanz kwenye jicho la mtu wakat kipande chamti kiko kwenye jicho lako.....nimeumia sana na maneno ya wema,mtoto anapanga MUNGU sio binadamu .....Embu mwachen mtoto wa watu sasa awenaaamani kila siku mnamsema yeye mmnazan anachuma nin Ana moyo,afu kunawatu wanapenda sana kudandia mambo ........mmedandia weweee mme mtukana mtoto wawatu minaomba niwape namba ya MUNGU mumulize yeye kwanin na mumuache mtoto wa watu!sipendag...
10 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...