Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA KORTINI TENA!

Mkono wa sheria! Achana na drama zake na aliyekuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, mcheza sinema ‘grade one’ Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ anapandishwa kizimbani leo katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar kujibu kesi ya kushambuliwa vijana wawili, Rashid Balazi na Juma Bushiri, wakazi wa jijini Dar, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili. Staa wa filamu Bongo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MBASHA ARUDISHWA KORTINI TENA

Brighton Masalu SIKU chache baada ya kushinda kesi ya tuhuma za kubaka iliyokuwa ikimkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, mwimbaji wa muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha anatarajiwa kupandishwa tena katika korti hiyohiyo kwa madai mengine, Risasi Mchanganyiko lina habari kamili. Mwimbaji wa muziki wa Injili, Emmanuel Mbasha. Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni kwa sharti la kutotajwa jina,...

 

10 years ago

GPL

KIGOGO WA WEMA KORTINI

Haruni Sanchawa Makongoro Oging’
Jamaa aliyewahi kudaiwa kuwa karibu na mwigizaji Wema Sepetu anayejulikana kwa jina la Clement Mwankayi Kiondo ‘CK’ au Kigogo wa Wema na mwenzake, Emmanuel Kagondela wamepandishwa kortini kwa mashitaka mawili ya kughushi hundi kisha kuchota fedha. Clement Mwankayi Kiondo ‘CK’ akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi. Wawili hao walipandishwa kizimbani juzi...

 

10 years ago

Mtanzania

Yona amtaja tena Mkapa kortini

Benjamin Mkapa

Benjamin Mkapa

NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM

WAZIRI wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona, amedai mahakamani kwamba Rais mstaafu, Benjamin Mkapa, alikuwa akifuatilia hatua kwa hatua na alikubali mchakato wa ukaguzi wa dhahabu ufanyike kwa haraka.

Yona alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alipokuwa akijitetea kwa kuongozwa na wakili wake, Elisa Msuya mbele ya jopo la mahakimu watatu linaloundwa na Jaji John Utamwa, Jaji Sam Rumanyika na Msajili Saul Kinemela.

Alidai...

 

11 years ago

Habarileo

Wachina wa ‘samaki wa Magufuli’ kortini tena

RAIA wawili wa China walioachiwa huru wiki iliyopita katika kesi ya uvuvi haramu, wamepandishwa kizimbani tena wakikabiliwa na mashitaka ya kuvua samaki katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania bila kibali.

 

10 years ago

GPL

WEMA, KAJALA TENA!

Brighton Masalu
MAJANGA! Wasanii wawili mahasimu katika tasnia ya filamu, Kajala Masanja na Wema Sepetu ‘Madam’ wametengeneza tena vichwa vya habari baada ya kukutana ndani ya klabu ya usiku ya Maisha iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita na kuzua minong’ono miongoni mwa wadau wengi wa burudani, Risasi Mchanganyiko linakupa hatua kwa hatua. Msanii wa filamu Bongo,Kajala Masanja...

 

10 years ago

Bongo Movies

Le Mutuz Amfagilia Tena Wema!!

PEACE JAMANI AMANI PEOPLE hata kama humpendi yeye lakini HESHIMU NYOTA YAKE cause tatizo sio yeye ila NYOTA and guys lets support her MBUNGE MTARAJIWA and yes I said it STOP HATING I mean guys TUPENDANE LIIFE IS TOO SHORT narudia huwezi KUMCHUKIA MTU USIYEMJUA NA ASIYEKUHUSU KAMA WEWE BINAFSI SIO A DEAD MAN WALKING mazafantazz ndio maana unataka na WENGINE WAFWE KAMA WEWE ...and wacha hizo CHUKI NA.WIVU WAKO matatizo yako ya maisha ni yako mwenyewe pigana nayo mwenyewe kila mtu ana yake na...

 

11 years ago

GPL

WEMA SEPETU ATIBUA TENA

Stori: Hamida Hassan
BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ameendelea ‘kutibua’ hali ya hewa kwa kukiuka maadili ambapo kwa mara nyingine tena ametupia picha mtandaoni zikimuonesha akiwa amevaa mavazi yaliyoacha wazi baadhi ya sehemu nyeti za mwili wake. Wema Sepetu. Picha hiyo iliyopo kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii inamuonesha Wema akiwa amevaa kiblauzi chenye matundu kiasi cha kuifanya sidiria aliyovaa ionekane...

 

9 years ago

GPL

BATULI, WEMA HAWAIVI TENA!

Mwisho wa reli? Urafiki wa mastaa wawili wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ unadaiwa kupoteza mwelekeo baada ya wawili hao kusemekana hawaivi tena kama ilkivyokuwa huko nyuma walipoanza Kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mastaa wawili wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Yobnesh Yusuf ‘Batuli’. Habari kutokwa kwa mnyetishaji wetu wa kuaminika zilieleza kuwa, hali imekuwa tofauti na...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu,Nuh Mziwanda Kimenuka Tena!

Mastaa wa Bongo,Wema Sepetu na msanii wa bongo fleva,Nuh Mziwanda wameingia tena kwenye bifu baada ya kujibizana kupitia kwenye mtandao wa Instagram.

Nuh amekuwa akimtuhumu Wema baada ya kuvujisha sauti aliyomrekodi kwenye simu akisikika msanii huyo akimtongoza mrembo huyo ambapo mpenzi wake Shilole aliipata na kuzua tafrani kwa wapeni hao hali ilisababisha kuachana na baadaye kupatanishwa.

upitia akaunti ya Instagram Nuh Mziwanda aliandika hivi:

Nakupa hongera kwa kufanikiwa kutoa amani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani