Kigogo CCM kortini kwa kulawiti wanawe
Katibu Msaidizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Rogers Msangi (44), amepandishwa kizimbani mjini Moshi akituhumiwa kuwalawiti watoto wake wawili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania11 Jun
Kortini kwa kulawiti mtoto
Maneno Selanyika na Ramadhani Mwakikato, Dar es Salaam
MKAZI wa Mbezi Beach Dar es Salaam, Tuntutye Mwasyete (25), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na tuhuma za kumlawiti mtoto (jina limehifadhiwa) mwenye umri wa mwaka mmoja.
Mbele ya Hakimu, Lilian Rutehangwa, Wakili wa Serikali Masini Musa alidai kwamba tukio hilo lilitokea Mei 14 mwaka huu huko Kawe.
Mtuhumiwa alikana shtaka hilo na alirejeshwa mahabusu hadi Juni 24 mwaka huu yatakaposomwa maelezo ya awali.
11 years ago
Uhuru Newspaper23 Jul
Kigogo kortini kwa uhujumu uchumi
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), mkoa wa Mbeya, imempandisha kizimbani, Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya Mbeya, Gerishon Bwire.
Bwire anakabiliwa na makosa matatu tofauti, ambayo ni kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri wake, ubadhirifu na kuisababishia hasara mamlaka.
Mwendesha mashitaka wa TAKUKURU, Nimrod Mafwele, alidai mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mkoa Mbeya, James Mhanusi, kuwa Bwire alifanya makosa hayo Mei mwaka jana,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Bp6VsFxYvcLd29QxnZcOeqCh*ffCzi0-zliojAX9TiI9WyyfiKltzCDDsTQU5N98hE3un-D*IfnYtLQJ0N45NCRqRB7dPSul/Wema.gif?width=650)
KIGOGO WA WEMA KORTINI
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-x_GmgaUMr2E/U-x2J2VVSOI/AAAAAAAABew/R3vs9Go2OmU/s72-c/bize.jpg)
Kigogo Maliasili aburutwa kortini
NA FURAHA OMARY
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imempandishwa kizimbani Ofisa Mhifadhi Wanyamapori wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Richard Nchasi, kwa madai ya kutumia nyaraka kwa lengo la kumdanganya mwajiri kwa kutoa hati za uwindaji wa wanyama.
Nchasi alifikishwa jana katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na mashitaka manne ya kutumia nyaraka kumdanganya mwajiri na kuisababishia wizara hiyo hasara ya dola za Marekani 1,860 (sh. 2,976,000).
![](http://2.bp.blogspot.com/-x_GmgaUMr2E/U-x2J2VVSOI/AAAAAAAABew/R3vs9Go2OmU/s1600/bize.jpg)
10 years ago
Mwananchi01 Jun
Mwenyekiti CCM adaiwa kulawiti
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Kortini kwa kutumia majina ya CCM, Chadema
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kigogo CCM auawa
MWENYEKITI wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoa wa Mwanza, Clement Mabina, ameuawa kinyama na wananchi wenye hasira baada ya kumuua kwa risasi mtoto mdogo anayekadiriwa kuwa na miaka...
11 years ago
Tanzania Daima26 Mar
Afungwa miaka 70 kwa kulawiti
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi imemhukumu kifungo cha miaka 70, Forensi Albeto (34) baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kambo mwenye...
10 years ago
Mtanzania20 Feb
Kigogo CCM afia mkutanoni
Na Is-haka Omar, Zanzibar
MWAKILISHI wa Magomeni visiwani Zanzibar, Salmin Awadhi Salmin (CCM), amefariki dunia ghafla baada ya kuanguka katika kikao cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilichokuwa kinafanyika katika ofisi kuu ya chama hicho, Kisiwandui mjini Unguja.
Taarifa hiyo ilianza kuenea mjini Unguja jana saa 6 mchana, na hata kuzua maswali kutoka kwa wananchi kuhusu utata wa kifo chake.
Salmin (57) ambaye pia alikuwa ni mnadhimu wa wawakilishi wa CCM na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho...