Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kortini kwa kutumia majina ya CCM, Chadema

Watu watatu wamefikishwa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza wakikabiliwa na mashtaka ya wizi wa kimtandao na kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mahakamani kwa kughushi tovuti feki kutumia majina ya Taasisi na wanasiasa

Watu wawili, Patrick Natala na Maxmillian Msacky  wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 10  yakiwamo ya kughushi, kutengeneza tovuti feki na mifumo ya mtandao  kwa kutumia majina ya  Taasisi, viongozi na wanasiasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Chadema yawabwaga wenyeviti vitongoji 36 wa CCM kortini

Karagwe. Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Karagwe imebatilisha ushindi wa wenyeviti 36 wa vitongoji, Kata ya Kiruruma kwa tiketi ya CCM, baada ya kuridhika kuwa mwenendo wa uchaguzi haukuwa huru na haki.

 

10 years ago

Habarileo

Wafuasi 17 wa Chadema kortini kwa kutotii amri

WATU 17 wakiwemo viongozi watatu na wafuasi 14 wa Chadema mkoa wa Katavi wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kufanya maandamano mjini Mpanda kinyume cha sheria, wamenyimwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Mpanda.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanafunzi walalamika kutumia majina bandia

WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Nyugwa, Wilaya ya Nyangh’wale, mkoani Geita, wameiomba serikali ya mkoa kumchukulia hatua Ofisa Elimu ya Sekondari wa wilaya hiyo na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo,...

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema sasa kushambulia kwa kutumia mabaraza yake

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho, Tumaini Makene.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeamua kutumia mabaraza yake kufanya mashambulizi ya kisiasa kujiimarisha miongoni mwa makundi maalum katika jamii.

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka ndani ya chama hicho, chama hicho sasa kitayatumia mabaraza yake ya Vijana (Bavicha), Wanawake (Bawacha) na (Bazecha) kama mkakati wa kulenga makundi mahsusi ya wapiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...

 

9 years ago

Mwananchi

Kigogo CCM kortini kwa kulawiti wanawe

Katibu Msaidizi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, Rogers Msangi (44), amepandishwa kizimbani mjini Moshi akituhumiwa kuwalawiti watoto wake wawili.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA DR.SLAA AHAMIA CCM,MWIGULU AMVUNA KWA MANUFAA YA CCM NA TANZANIA

Mh:Mwigulu Nchemba akiwaisli viwanja vya
Mkutano Karatu Mjini.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa karatu Mjini mapema hii leo asubuhi majira ya saa tatu wakati akisisitiza kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa Kufanyika tar.14.12.2014.Mwigulu akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Wilaya ya karatu ndugu.Raulenti Bonta.Kadi na baadhi za Vifaa vya CHADEMA ambavyo vimerudishwa hii leo kwa mwigulu Nchemba...

 

10 years ago

Vijimambo

KUMEKUCHA CCM,MKAPA,MWINYI WAJITOSA "KUCHINJA" MAJINA YA WATAKA URAIS CCM,



Zikiwa zimebaki siku 9 kabla ya kamati kuu ya chama mapinduzi CCM akijakutana kwa ajili ya “kufyeka” majina 37 kati ya 42 ya makada wake waliojitokeza na kuwania Urais ndani ya chama hicho,sasa jukumu lingine lawaangukia viongozi wastaafu wa chama hicho.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.Viongozi hao ambao ni marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa ambao wote kwa pamoja wataunda Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kufanya kikao wakati wowote wiki hii...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani