Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema sasa kushambulia kwa kutumia mabaraza yake

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa chama hicho, Tumaini Makene.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeamua kutumia mabaraza yake kufanya mashambulizi ya kisiasa kujiimarisha miongoni mwa makundi maalum katika jamii.

Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka ndani ya chama hicho, chama hicho sasa kitayatumia mabaraza yake ya Vijana (Bavicha), Wanawake (Bawacha) na (Bazecha) kama mkakati wa kulenga makundi mahsusi ya wapiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.

Taswira ya Uwanja wa Kaitabaulivyo kwa sasa.
Nyasi bandia zikiwa zimewekwa pembeni ya Uwanja tayari kwa kutandikwa katika Uwanja huoMwakilishi kutoka shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya kukagua maendeleo ya uwekaji nyasi bandi katika uwanja wa mpira wa Kaitaba Amewaomba mafundi kuongeza kasi ili ukamilike kwa muda uliopangwa. Mwakilishi huyo wa FIFA Mhandisi Kelvin Macklain, alitua Bukoba wiki iliyopita na kukagua hatua kwa hatua uwanja huo na alifika hapo kukagua hatua za mwisho...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MTU MMOJA AJINYONGA KWA RAFIKI YAKE KWA KUTUMIA KANGA

Na John Gagarini, Kibaha 
 KIJANA Victor Wilfred (29) mkazi wa Keko jijini Dar es Salaam amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia kanga aliyoifunga kwenye dirisha la chumba cha rafiki yake.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ulrich Matei alisema kuwa marehemu alifika kwa rafiki yake hapa Kibaha kwa lengo la kutafutiwa kazi.
Kamanda Matei amesema kuwa tukio hilo lilitokea leo Aprili 30 mwaka huu majira ya saa 5...

 

11 years ago

Michuzi

AJINYONGA KWA RAFIKI YAKE KWA KUTUMIA KANGA

Na John Gagarini, Kibaha  KIJANA Victor Wilfred (29) mkazi wa Keko jijini Dar es Salaam amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia kanga aliyoifunga kwenye dirisha la chumba cha rafiki yake.  Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa Polisi mkoani Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Ulrich Matei alisema kuwa marehemu alifika kwa rafiki yake hapa Kibaha kwa lengo la kutafutiwa kazi.  Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Aprili 30 mwaka huu majira ya saa 5 asubuhi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba sasa itapatikana kwa kutumia vyombo vya dola?

EEEEEH! Eti hivi ndivyo Katiba tarajiwa italindwa? Haya ndiyo maridhiano katika kuandika katiba mpya? Polisi, virungu na mbwa ndio mjadala wa kukamilisha katiba mpya enyi wanadamu? Kama Katiba ni ya...

 

10 years ago

Mwananchi

TEKNOLOJIA TIBA: Upasuaji kwa kutumia roboti sasa wafanyika nchini

>Sekta ya afya duniani imeshuhudia mapinduzi yanayolenga kuongeza umri wa kuishi, ubora wa maisha, njia mbadala za uchunguzi, njia bora za matibabu na pia ufanisi na ubora katika huduma za afya.

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa kutumia majina ya CCM, Chadema

Watu watatu wamefikishwa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza wakikabiliwa na mashtaka ya wizi wa kimtandao na kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu.

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDUMA AKABILIWA NA SHITAKA LA KUSHAMBULIA

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Tunduma katika Wilaya ya Momba,Mkoa Mbeya, Herode Jivava, (wa kwanza kutoka kushoto) akiwa na mwanasheria wake Omary Ndamungu wakiwa nje ya mahakama ya Wilaya ya Mbozi mara baada ya kesi yake kuarishwa mpaka Mei 20 mwaka huu,kutokana mashahidi kushindwa kufika mahakamani. Mwenyekiti huyo ameshitakiwa na kwa kosa la kumfanyia shambulio la mwili mwana chama cha...

 

9 years ago

Bongo5

50 Cent amshtaki Rick Ross kwa kutumia beat ya ‘In Da Club’ kwenye mixtape yake

rick-ross-and-50-cent

50 Cent anamshtaki Rick Ross akitaka alipwe dola milioni 2 kwa kuitumia beat ya wimbo wake wa kitambo, ‘In Da Club.’

rick-ross-and-50-cent

50 Cent anadai kuwa Rick Ross ametumia wimbo huo bila ruhusa yake ili kuipa kiki albamu yake Black Market.

Mashtaka hayo yamekuja miezi kadhaa baada ya 50 naye kutakiwa kulipa dola milioni 5 kwa Lastonia Leviston baada ya kupost sex tape yake. Leviston ana mtoto na Rick Ross.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani