KUMEKUCHA CCM,MKAPA,MWINYI WAJITOSA "KUCHINJA" MAJINA YA WATAKA URAIS CCM,
Zikiwa zimebaki siku 9 kabla ya kamati kuu ya chama mapinduzi CCM akijakutana kwa ajili ya “kufyeka” majina 37 kati ya 42 ya makada wake waliojitokeza na kuwania Urais ndani ya chama hicho,sasa jukumu lingine lawaangukia viongozi wastaafu wa chama hicho.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.Viongozi hao ambao ni marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa ambao wote kwa pamoja wataunda Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kufanya kikao wakati wowote wiki hii...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Wasira, Mwigulu nao wajitosa urais CCM
HEKAHEKA za kuwania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea urais zinazidi kupamba moto baada ya makada wengine wawili, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kutangaza kujitosa katika mbio hizo jana.
Wakati Wasira akitangaza kuhakikisha analeta mageuzi mpya kwa taifa, Mwigulu ameahidi Watanzania kuumiliki uchumi.
Wasira ambaye ni Mbunge wa Bunda, amekuwa ni kada wa pili huku Mwigulu akiwa wa tatu kutangaza nia ya kuwania...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jul
Laana ya Mwinyi, Mkapa, Karume kuitafuna CCM 2015
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinapita katika wakati mgumu kuliko wowote ule katika historia ya chama hicho. Kikubwa kinachotajwa kutoa changamoto hiyo ni kupata jina la mwanachama atakayesimama kupeperusha bendera yake...
10 years ago
VijimamboUrais 2015 kumekucha CCM: Makongoro Nyerere naye kutangaza nia Butiama
Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania ambaye pia ni baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ajulikanaye kama Makongoro Nyerere naye anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imebainisha kuwa Makongoro Nyerere atatangaza nia ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi ifikapo tarehe moja mwezi wa sita mwaka huu yaani siku ya jumatatu.
Makongoro nyerere ameungana na Waziri Prof. Mark...
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Fitina wataka urais CCM zapamba moto
UKIWA umebaki mwaka mmoja kabla ya kuanza mchakato wa kutafuta mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), fitina na rafu miongoni mwa wanachama wanaotajwa kuwania nafasi hizo zimeanza...
10 years ago
Habarileo13 Oct
CCM Iringa wataka mgombea safi wa Urais
WANACHAMA na wafuasi wa CCM mkoani Iringa wameutaka uongozi wa juu wa chama hicho kuteua mgombea urais aliyemsafi ili kukifanya chama hicho kisitumie nguvu kumnadi.
10 years ago
VijimamboHii Ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM, itakayopitisha Majina Matano ya Wagombea Urais
Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Dr. Ally Mohamed Shein
3. Phillip Japhet Mangula
4. Abdulrahman Kinana
6. Dr. Mohamed Ghalib Bilal
7. Mizengo Kayanza Peter Pinda8. Balozi Seif Ali Iddi
9. Anna Semamba Makinda
10. Pandu Amir Kificho
11. Rajab Luhwavi
12. Vuai Ali Vuai
13. Nape Moses Nnauye
14. Mohammed Seif Khatibu
15. Zakhia Hamdan Meghji
16. Asha Rose Migiro
17. Sophia...
5 years ago
CCM BlogDK HUSSEIN MWINYI ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUWANIA URAIS KUPITIA CCM ZANZIBAR
5 years ago
BBCSwahili15 Jun
Uchaguzi wa Tanzania 2020: Majina matano yanayopigiwa upatu kuwania tiketi ya urais ya CCM Zanzibar
9 years ago
Habarileo07 Jan
Waandishi wajitosa ukatibu CCM
WAANDISHI wa habari wawili Mkoani Arusha wamejitokeza kuwania nafasi ya ukatibu wenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 28 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kuziba nafasi zilizo wazi kutokana na sababu mbalimbali.