Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hii Ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM, itakayopitisha Majina Matano ya Wagombea Urais


Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Dr. Ally Mohamed Shein
3. Phillip Japhet Mangula
4. Abdulrahman Kinana
6. Dr. Mohamed Ghalib Bilal
7. Mizengo Kayanza Peter Pinda8. Balozi Seif Ali Iddi
9. Anna Semamba Makinda
10. Pandu Amir Kificho
11. Rajab Luhwavi
12. Vuai Ali Vuai
13. Nape Moses Nnauye
14. Mohammed Seif Khatibu
15. Zakhia Hamdan Meghji
16. Asha Rose Migiro
17. Sophia...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

VIDEO: NAPE ATHIBITISHA MAJINA MATANO BORA YALIYOPITISHWA NA KAMATI KUU

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari asubuhi hii nje ya Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, akithibitisha taarifa iliyokuwa ikizagaa mitandaoni ya Wagombea Urais walioingia katika hatua ya tano bora, ambao aliwataja kuwa ni Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje, Mh. Bernard Membe, Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Asha-Rose Migiro, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Mh....

 

10 years ago

Vijimambo

VIDEO: NAPE AFUNGUKA KUHUSU MAJINA MATANO BORA YALIYOPITISHWA NA KAMATI KUU

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akiongea na waaandishi wa habari mara baada ya kutoka kikao cha Kamati kuu. Picha na Kajunason Blog

 

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Tanzania 2020: Majina matano yanayopigiwa upatu kuwania tiketi ya urais ya CCM Zanzibar

Rais wa sasa Dkt. Ali Mohamed Shein anamaliza miaka 10 ya kuiongoza Zanzibar, vyenye mamlaka ya ndani pekee.

 

9 years ago

GPL

KAMATI KUU CCM YAPITISHA MAJINA 3 YA USPIKA

KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi leo imewapitisha  Ndugu Job Ndugai, Ndugu Abdullah Ali Mwinyi na Dk. Tulia Ackson Mwansasu kugombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kikao cha kupitisha majina hayo kimefanyika katika ukumbi wa makao makuu ya chama hicho mkoani Dodoma kikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye ni Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete.… ...

 

9 years ago

StarTV

Kamati kuu CCM yapitisha majina matatu kati ya 21

Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM imepitisha majina matatu kati ya 21 ya wagombea waliojitokeza kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea kiti cha Spika katika Bunge la 11.

Kikao hicho cha kamati kuu kimeongozwa na mwenyekiti wa chama hicho taifa Dokta Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma.

katika uwanja wa ndege wa Dodoma mwenyekiti Taifa  wa chama cha mapinduzi CCM ambaye ni rais mstafuu Dk. Jakaya mrisho Kikwete akiwasili na kulakiwa na baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho...

 

9 years ago

Michuzi

JK alipotua Dodoma kuongoza kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili majina ya walioomba kugombea Uspika

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili mjini Dodoma kwa ajili ya kikao cha siku moja cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu itakayojadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wana CCM alipowasili mjini Dodoma kwa ajili ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Urais CCM waiweka pabaya Kamati Kuu

Mbio za urais ndani ya CCM sasa zimefikia pabaya baada ya kuibuka hofu ya kuwapo kwa mpango wa kuivuruga Kamati Kuu kabla ya haijakutana kuchuja majina ya makada watakaotakiwa kupigiwa kura na Halmashuri Kuu ili kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani