Waandishi wajitosa ukatibu CCM
WAANDISHI wa habari wawili Mkoani Arusha wamejitokeza kuwania nafasi ya ukatibu wenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 28 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kuziba nafasi zilizo wazi kutokana na sababu mbalimbali.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-fhPkHxi7tCQ/VZDjz7gZQHI/AAAAAAAAgLM/cugcqdqqpXc/s72-c/1.png)
KUMEKUCHA CCM,MKAPA,MWINYI WAJITOSA "KUCHINJA" MAJINA YA WATAKA URAIS CCM,
![](http://3.bp.blogspot.com/-fhPkHxi7tCQ/VZDjz7gZQHI/AAAAAAAAgLM/cugcqdqqpXc/s640/1.png)
Zikiwa zimebaki siku 9 kabla ya kamati kuu ya chama mapinduzi CCM akijakutana kwa ajili ya “kufyeka” majina 37 kati ya 42 ya makada wake waliojitokeza na kuwania Urais ndani ya chama hicho,sasa jukumu lingine lawaangukia viongozi wastaafu wa chama hicho.Anaandika KAROLI VINSENT endelea nayo.Viongozi hao ambao ni marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa ambao wote kwa pamoja wataunda Baraza la Ushauri la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kufanya kikao wakati wowote wiki hii...
10 years ago
Mtanzania01 Jun
Wasira, Mwigulu nao wajitosa urais CCM
HEKAHEKA za kuwania kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mgombea urais zinazidi kupamba moto baada ya makada wengine wawili, Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kutangaza kujitosa katika mbio hizo jana.
Wakati Wasira akitangaza kuhakikisha analeta mageuzi mpya kwa taifa, Mwigulu ameahidi Watanzania kuumiliki uchumi.
Wasira ambaye ni Mbunge wa Bunda, amekuwa ni kada wa pili huku Mwigulu akiwa wa tatu kutangaza nia ya kuwania...
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Makada tisa CCM wajitosa kumrithi Filikunjombe
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Njovu aachia ukatibu Yanga
11 years ago
Habarileo13 Jul
Dk Nagu ashauri shahada ya Ukatibu Muhtasi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu amekitaka Chuo cha Utumishi wa Umma kuanza kutoa shahada ya ukatibu muhtasi ili wawe bora zaidi kwenye utekelezaji wa majukumu yao.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Maalim Seif arudisha fomu za ukatibu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho huku akisisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Waandishi Mara waigomea CCM
SIKU moja baada ya kukamatwa, kupigwa na kisha kuporwa vifaa vyake vya kazi, mwandishi wa habari wa Kampuni ya Mwananchi wilayani Bunda, Christopher Malegesi, na kiongozi mmoja wa Chama Cha...
11 years ago
Habarileo03 Jan
Kigogo wa CCM atembelea waandishi wagonjwa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Kagera kimeshauri sekta mbalimbali mkoani humo, kutambua na kuthamini mchango unaotolewa na waandishi wa habari.
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Maalim Seif mgombea pekee ukatibu mkuu CUF