Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif arudisha fomu za ukatibu

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho huku akisisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AREJESHA FOMU KUGOMBEA UKATIBU MKUU CUF

Na Hassan Hamad  wa OMKR Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho, na kusisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha Wazanzibari.  Akikabidhi fomu hiyo kwa Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi Unguja Bw. Juma Rajab, Maalim Seif amesema suala la ubaguzi kamwe halitopewa nafasi ndani ya chama hicho.  Amefahamisha kuwa wazanzibar wote ni wamoja bila ya kujali asili ya mtu anapotokea ndani ya visiwa vya Zanzibar, na...

 

11 years ago

Mwananchi

Maalim Seif mgombea pekee ukatibu mkuu CUF

>Wakati Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad (Maalim Seif) akiwa mgombea pekee wa nafasi ya katibu mkuu wa chama hicho, makada wawili wamejitokeza kumvaa Profesa Lipumba katika nafasi ya uenyekiti.

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ARUDISHA FOMU YA KUWANIA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI JIMBO LA MAHONDA

Vijana wa Umoja wa Mapiki piki Wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B” wakimsindikiza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akirehesha fomu za kuwania kugombea uwakilishi Jimbo la Mahonda.Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi Fomu za kuwania kugombea Ujumbe wa Baraza la Wawakilushi Jimbo la Mahonda kwa Afisa wa Uchaguzi Wilaya ya Kaskazini “B” Nd. Makame Pandu Khamis ofisi ya Tume hiyo iliyopo Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Jimbo la...

 

9 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AREJESHA FOMU

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Jesha Salim Jecha huko hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Jesha Salim Jecha akionesha fomu za kugombea Urais wa Zanzibar, baada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, huko hoteli ya Bwawani mjini Zanzibar. (Picha na Salmin Said,...

 

10 years ago

Habarileo

Maalim Seif achukua fomu ya Urais 2015

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akikabidhiwa fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho na Katibu wa Chama Wilaya ya Magharibi A, Saleh Muhammed Saleh, mjini Zanzibar jana. (Picha na OMKR- Zanzibar).KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amechukua rasmi fomu ya chama hicho kuomba kuwania Urais wa Zanzibar.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif arejesha fomu, aipa neno Zec.

Maalim Seif arejesha fomu, aipa neno Zec. NA RAHMA SULEIMAN 4th September 2015 Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif hamad, jana alirejesha fomu kimyakimya wala kuwa na wapambe wa chama […]

The post Maalim Seif arejesha fomu, aipa neno Zec. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif akabidhiwa fomu za urais Zanzibar, ailamu ZEC

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad jana alichukua fomu kuwania urais wa Zanzibar, ikiwa ni mara ya tano, safari hii akiwa chini ya mwamvuli wa Ukawa.

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR

Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha mkoba wenye Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 23, 2015, baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, (ZEC), kwenye Ukumbi wa Salama, Bwawani, Zanzibar.Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha akimkabidhi Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 23,...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar. Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani