Maalim Seif achukua fomu ya Urais 2015
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amechukua rasmi fomu ya chama hicho kuomba kuwania Urais wa Zanzibar.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, ACHUKUA FOMU KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR


11 years ago
Michuzi.jpg)
MAALIM SEIF ACHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KATIBU MKUU CHAMA CHA CUF
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Maalim Seif akabidhiwa fomu za urais Zanzibar, ailamu ZEC
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad jana alichukua fomu kuwania urais wa Zanzibar, ikiwa ni mara ya tano, safari hii akiwa chini ya mwamvuli wa Ukawa.
10 years ago
Vijimambo
MH.WASSIRA ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS 2015




Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen...
10 years ago
Michuzi
Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad leo amerejesha fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama hicho. Fomu hiyo aliyoichukua tarehe 28/05/2015, ameirejesha na kumkabidhi Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi "A" Saleh Mohd Saleh, katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama hicho zilizoko jimbo la Bububu Zanzibar.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika ofisi za Chama...


10 years ago
Michuzi
January Makamba achukua Fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais 2015


January Makamba akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto...
10 years ago
MichuziMaalim Seif Sharif achangiwa fedha za kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya urais wa zanzibar wakati utakapofika

10 years ago
GPL
JANUARY MAKAMBA ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS 2015 JANA DODOMA
Mbunge wa jimbo la Bumbuli, mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia, January Makamba  akisaini kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana.… ...
10 years ago
Vijimambo
WAZIRI BERNARD MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS 2015


Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania