Njovu aachia ukatibu Yanga
Katibu mkuu wa Yanga, Beno Njovu amemwaga manyanga baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa mwaka mmoja.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Njovu hii ndiyo Yanga ya ahadi kebekebe
9 years ago
Habarileo07 Jan
Waandishi wajitosa ukatibu CCM
WAANDISHI wa habari wawili Mkoani Arusha wamejitokeza kuwania nafasi ya ukatibu wenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 28 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kuziba nafasi zilizo wazi kutokana na sababu mbalimbali.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Maalim Seif arudisha fomu za ukatibu
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho huku akisisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha...
11 years ago
Habarileo13 Jul
Dk Nagu ashauri shahada ya Ukatibu Muhtasi
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu amekitaka Chuo cha Utumishi wa Umma kuanza kutoa shahada ya ukatibu muhtasi ili wawe bora zaidi kwenye utekelezaji wa majukumu yao.
11 years ago
Mwananchi23 Jun
Maalim Seif mgombea pekee ukatibu mkuu CUF
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-O_A8mWGyAuI/U4jLFc3oBGI/AAAAAAAFmls/kJO81aOmWQg/s72-c/unnamed+(42).jpg)
MAALIM SEIF AREJESHA FOMU KUGOMBEA UKATIBU MKUU CUF
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Muhongo aachia ngazi
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Shilole aachia ‘Usinikate Mood’
MWANADADA anayetamba katika tasnia ya muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, amesambaza kazi yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Usinikate Mood’. Shilole ni mkali aliyewahi kutamba na nyimbo kama ‘Paka...