Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Nagu ashauri shahada ya Ukatibu Muhtasi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk Mary Nagu amekitaka Chuo cha Utumishi wa Umma kuanza kutoa shahada ya ukatibu muhtasi ili wawe bora zaidi kwenye utekelezaji wa majukumu yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mary Nagu Mgeni rasmi kongamano la nne la kitaifa la makatibu muhtasi tanzania jijini mwanza leo

 Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa TAPSEA wakati alipokuwa akiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo linafanyika leo jijini Mwanza.Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mary Nagu mgeni rasmi Kongamano la nne la Kitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania leo jijini Mwanza

1

 Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa TAPSEA wakati alipokuwa akiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo linafanyika leo jijini Mwanza.

2

Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu...

 

11 years ago

GPL

MARY NAGU MGENI RASMI KONGAMANO LA NNE LA KITAIFA LA MAKATIBU MUHTASI TANZANIA LEO JIJINI MWANZA‏

Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa TAPSEA wakati alipokuwa akiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo linafanyika leo jijini Mwanza.
Pichani… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Ashauri Chuo cha Bandari kitoe shahada

Chuo cha Bandari Dar es Salaam kimeshauriwa kufanya juhudi ili kije kuwa chuo kikuu kwa lengo la kuongeza ufanisi kwenye soko la ajira, hususan katika fani ya usimamizi, upakiaji na usafirishaji mizigo bandarini.

 

9 years ago

Habarileo

Waandishi wajitosa ukatibu CCM

WAANDISHI wa habari wawili Mkoani Arusha wamejitokeza kuwania nafasi ya ukatibu wenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 28 mwaka huu ikiwa ni sehemu ya kuziba nafasi zilizo wazi kutokana na sababu mbalimbali.

 

10 years ago

Mwananchi

Njovu aachia ukatibu Yanga

Katibu mkuu wa Yanga, Beno Njovu amemwaga manyanga baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa mwaka mmoja.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif arudisha fomu za ukatibu

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho huku akisisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Maalim Seif mgombea pekee ukatibu mkuu CUF

>Wakati Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Seif Sharif Hamad (Maalim Seif) akiwa mgombea pekee wa nafasi ya katibu mkuu wa chama hicho, makada wawili wamejitokeza kumvaa Profesa Lipumba katika nafasi ya uenyekiti.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Katibu Muhtasi anapokuwa mbabe kuliko bosi!

KATIBU muhtasi (sekretari) ni kiungo muhimu kiutendaji maofisini. Ni mtu anayefanya kazi kwa kumuunganisha bosi wake na watu wengine wa ndani na nje ya ofisi. Kama zilivyo kazi nyingine kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani