Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yawabwaga wenyeviti vitongoji 36 wa CCM kortini

Karagwe. Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Karagwe imebatilisha ushindi wa wenyeviti 36 wa vitongoji, Kata ya Kiruruma kwa tiketi ya CCM, baada ya kuridhika kuwa mwenendo wa uchaguzi haukuwa huru na haki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Nitalipa posho wenyeviti vijiji, vitongoji

Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa ameahidi kuwalipa posho wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji iwapo atashinda.

 

5 years ago

Michuzi

RC Gambo Awaonya Wenyeviti wa Mitaa vijiji na Vitongoji

Na Ahmed Mahmoud Arusha

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesitisha kwa muda kuendelea na shughuli yeyote kwenye eneo la Losirwa kata ya Moshono hadi Serikali itakapotoa maelekezo Mengine ambapo amewaonya Wenyeviti wa Mitaa kuacha kuchukuwa fedha na kutoa vibali vya Ununuzi wa Ardhi kwenye maeneo yenye Migogoro.

Aidha Amezitaka halmashauri za wilaya kuacha kutoa vibali vya ujenzi kwa wananchi kwenye maeneo yenye migogoro kwa kuwa inaleta mikanganyiko kwenye jamii na kuleta ugumu wakati wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Kortini kwa kutumia majina ya CCM, Chadema

Watu watatu wamefikishwa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza wakikabiliwa na mashtaka ya wizi wa kimtandao na kujipatia Sh4 milioni kwa njia ya udanganyifu.

 

11 years ago

GPL

TAMKO LA WENYEVITI WA CCM-MIKOA LA KUMPONGEZA KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHAMAN OMAR KINANA NA SEKRETARIETI YA CCM TAIFA

Mgana Izumbe Msindai – Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM wa Mikoa akitoa tamko hilo kwenye makao makuu ya Chama Chama Mapinduzi Ofisi ndogo Lumumba jijini Dar es salaam leo,kulia ni Haji Juma Haji – Makamu Mwenyekiti Wa Wenyeviti Mikoa na kushoto ni Lucas Ole Mukusi – Katibu wa Wenyeviti Mikoa. ................................................................................................................ Sisi...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO MKUU WA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE WAAHIRISHWA

WANA CCM MKUTANO MKUU WA UCHAGUZI ULIOTARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 11/10/ 2014 UMEAHIRISHWA. 
VIONGOZI KATIKA KAMATI YA HALMASHAURI KUU NI WATANO NA KATI YA HAO WATATU WAMEPITISHA NA KUKUBALI KUAHIRISHWA KWA UCHAGUZI. NA WAWILI BADO HAWAJA JIBU. 
SABABU NI NINI?
1- WENGI WA WANACHAMA SIYO HAI KWANI ADA ZA WANACHAMA HAZIJALIPWA.
2- WAPIGA KURA WENGI HAWANA KADI.
3- KILA MUOMBAJI UWANACHAMA LAZIMA KAMATI ILIOPO IPITISHE OMBI LAKE
4- HADI SASA HAIJULIKANA TUNAWANACHAMA WANGAPI NA...

 

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO KUTOKA TAWI LA CCM NEW YORK NA VITONGOJI VYAKE

 Tangazo kutoka kwa Mwenyekiti wa tume huru ya kusimamia uchaguzi wa chama tawi la New York na vitongoji vyake Bwana Isaac Kibodya na wajumbe wenzake walikutana kupitia taratibu zote za uchaguzi Na kuafikiana kupitisha majina yafuatayo kwa uchaguzi wa Jumamosi October 11, 2014 Katika nafasi ya Mwenyekiti wagombea ni Bwana. Sefu Akida na Bwana. Maftah Hassan. Mweka hazina ni bwana. Henry Stambuli. Umoja wa vijana walioomba nafasi ni Mr. Gastol Mkapa na katibu wake ni Bi. Bahia Maundi. Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

CCM YAONGOZA UCHAGUZI VIJIJI,VITONGOJI NA MITAA MKOA WA PWANI

Na John Gagarini, Kibaha
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani kimeonyesha kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji ambapo kwenye matokeo ya awali kimeonekana kushinda maeneo mengi.
Katika Jimbo la Mafia CCM ilishinda vitongoji  96 kati ya 136 sawa na asilimia 70 Chama Cha Wananchi CUF asilimia 40 sawa na asilimia 29,katika vijiji  CCM ilishinda vijiji 19 kati ya 23 sawa na asilimia 82.6 CUF vijiji 4 sawa na asilimia 17.3.
Katika Jimbo la Kibaha Mjini kati ya...

 

11 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA CCM KALENGA ZATINGA KIJIJI ALICHOZALIWA MGOMBEA WA CHADEMA, MWENYEKITI WA CHADEMA NA WANACHAMA 50 WATIMKIA CCM

 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kijiji cha Wangama, Fred Mgata (kulia) akikabidhi kadi za chyama hicho kwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga baada ya yeye na wanachama wengine 50 wa Chadema kuamua kukihama na kujiunga CCM katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika  katika Kijiji hicho kilichopo Kata ya Luhota, Iringa Vijijini leo. Mgombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chadema ambaye ni mzaliwa wa kijiji hicho,  Grace Tendega alikuwa chini ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani