Lowassa: Nitalipa posho wenyeviti vijiji, vitongoji
Mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa ameahidi kuwalipa posho wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji iwapo atashinda.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Lowassa kulipa posho wenyeviti wa vijiji
FREDY AZZAH, HANANG
MGOMBEA Urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendele (Chadema), Edward Lowassa, amesema akiingia madarakani, Serikali yake itawalipa posho wenyeviti wa Serikali za vijiji, wenyeviti wa mitaa na wenyeviti wa vitongoji kwa kuwa wanafanya kazi kubwa.
Lowassa ambaye jana alifanya mikutano mitano ya kampeni Magugu, Dongobesh, Bashinet na Haidom, aliyasema hayo akiwa kwenye mkutano wa kampeni Makondeko, Kateshi, wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara.
“Serikali yangu ikiingia...
5 years ago
MichuziRC Gambo Awaonya Wenyeviti wa Mitaa vijiji na Vitongoji
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesitisha kwa muda kuendelea na shughuli yeyote kwenye eneo la Losirwa kata ya Moshono hadi Serikali itakapotoa maelekezo Mengine ambapo amewaonya Wenyeviti wa Mitaa kuacha kuchukuwa fedha na kutoa vibali vya Ununuzi wa Ardhi kwenye maeneo yenye Migogoro.
Aidha Amezitaka halmashauri za wilaya kuacha kutoa vibali vya ujenzi kwa wananchi kwenye maeneo yenye migogoro kwa kuwa inaleta mikanganyiko kwenye jamii na kuleta ugumu wakati wa...
10 years ago
Mwananchi21 May
Chadema yawabwaga wenyeviti vitongoji 36 wa CCM kortini
9 years ago
StarTV21 Aug
Serikali za vijiji, mitaa, vitongoji zatakiwa kuwajibika
Serikali za vijiji, mitaa na vitongoji nchini zimetakiwa kuweka utaratibu wa kuwatambua watoto wenye ulemavu katika maeneo yao ili kuhakikisha kuwa wanaandikishwa shuleni badala ya kuacha jukumu hilo kwa wazazi na walezi ambao baadhi yao wanawaficha majumbani kwa imani potofu.
Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi wa vyama vya walemavu mkoani Singida wanaotekeleza mradi wa My Rights wilayani Iramba baada ya kuwatambua watoto 15 wenye ulemavu ambao licha ya kuwa na umri wa kwenda shule...
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Vijiji, vitongoji vipya kushiriki chaguzi Serikali za mitaa
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Yona Maki, amesema jumla ya vijiji 151 na vitongoji 746 vitashiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu. Akizungunguza...
10 years ago
MichuziCCM YAONGOZA UCHAGUZI VIJIJI,VITONGOJI NA MITAA MKOA WA PWANI
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Pwani kimeonyesha kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa, Vitongoji na Vijiji ambapo kwenye matokeo ya awali kimeonekana kushinda maeneo mengi.
Katika Jimbo la Mafia CCM ilishinda vitongoji 96 kati ya 136 sawa na asilimia 70 Chama Cha Wananchi CUF asilimia 40 sawa na asilimia 29,katika vijiji CCM ilishinda vijiji 19 kati ya 23 sawa na asilimia 82.6 CUF vijiji 4 sawa na asilimia 17.3.
Katika Jimbo la Kibaha Mjini kati ya...
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Wenyeviti wa vijiji ‘wapigwa mkwara’
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Wenyeviti wa vijiji Bukoba wapigwa ‘stop’
WENYEVITI wa vijiji na vitongoji katika Halmashauri ya Bukoba wamezuiwa kugawa au kuuza ardhi kwa wananchi kinyume na sheria. Amri hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bukoba, Kapteni...
10 years ago
Vijimambo