KATIBU WA CHADEMA WILAYA YA DR.SLAA AHAMIA CCM,MWIGULU AMVUNA KWA MANUFAA YA CCM NA TANZANIA
Mh:Mwigulu Nchemba akiwaisli viwanja vya
Mkutano Karatu Mjini.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa karatu Mjini mapema hii leo asubuhi majira ya saa tatu wakati akisisitiza kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa Kufanyika tar.14.12.2014.
Mwigulu akimtambulisha Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa katibu wa CHADEMA Wilaya ya karatu ndugu.Raulenti Bonta.
Kadi na baadhi za Vifaa vya CHADEMA ambavyo vimerudishwa hii leo kwa mwigulu Nchemba...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Nov
Katibu Chadema jimbo la Masasi ahamia CCM
KATIBU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jimbo la Masasi, Faraji Mangochi amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) huku akihusika kwa nguvu katika kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo.
10 years ago
Vijimambo29 Mar
BREAKING NEWZZZZ RIPOTI MPYA YAMBIO ZA URAIS YATOKA,NI LOWASSA NA MWIGULU KWA CCM,CHADEMA NI SLAA
![](https://scontent-mad.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/22704_1569880066600782_5729300747823912878_n.jpg?oh=fb2b3e73471792eff272f55885ecb6d5&oe=55BA6448)
![](https://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xat1/v/t1.0-9/11088391_1569879943267461_6356965142291801367_n.jpg?oh=98c95caf8f7e226648aac5ff9fb1e72d&oe=55A2A432&__gda__=1438144826_c25d0eba2b617db29bac257850f9a5af)
![](https://scontent-mad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t1.0-9/11083873_1569879993267456_2357284592050219961_n.jpg?oh=c8ead43229af3eba53df416d885472cd&oe=55B11F22)
![](https://scontent-mad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/11113836_1569880109934111_7712167609056260833_n.jpg?oh=fe0ce65d12eaf144fed451ec7cb4b46b&oe=55B06A9F)
Ripoti hi imetolewa hi leo Jijini DSm,Ripoti yote itawajia
11 years ago
Michuzi26 Apr
Katibu wa CHADEMA Jimbo la Mufindi Kusini, Emannuel Ngwalanje , Ahamia CCM
Hatua ya Ngwalanje kujitoa Chadema na kujiunga na CCM imeelezwa na baadhi ya wafuasi wa Chadema kuwa ni pigo kubwa kwa chama hicho.
Akizungumzia kujitoa kwa Ngwalanje, mwanachama wa Chadema Michael Ngimbusi alisema; “Ngwalanje alikuwa nguzo kuu ya Chadema wilayani Mufindi, aliogopwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ClKtrwHc1Ko/XkupvFM6DCI/AAAAAAALd3Y/_aPqt1pQYxMUY1zAPLt136eesggHIE6zACLcBGAsYHQ/s72-c/unnamed.jpg)
BREAKING NEWZZZZZ: ALIYEKUWA KATIBU MKUU TAIFA WA CHADEMA DKT MASHINJI AHAMIA CCM.
![](https://1.bp.blogspot.com/-ClKtrwHc1Ko/XkupvFM6DCI/AAAAAAALd3Y/_aPqt1pQYxMUY1zAPLt136eesggHIE6zACLcBGAsYHQ/s640/unnamed.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-sriCxrZ0A/UxOTXHtPYLI/AAAAAAAFQkk/1Irt0inKXiI/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM AKABIDHI PIKIPIKI 9 NA BAISKELI 86 KWA KATA NA MATAWI YA CCM WILAYA YA KIBAHA VIJIJINI,PIA AKABIDHI KADI KWA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 100
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-sriCxrZ0A/UxOTXHtPYLI/AAAAAAAFQkk/1Irt0inKXiI/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LJzf6SHcIf8/UxOUclREtwI/AAAAAAAFQnY/WoJ0v18VwP8/s1600/3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Jul
Wamtaka Katibu wa CCM kuacha kumbeba kwa mbeleko Mwigulu Nchemba
Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida David Jairo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), juu ya madai yao ya kugomea kuendelea na mchakato wa kura za maoni hadi msimamizi wa uchaguzi ambae ni Katibu wa CCM Wilaya ya Iramba, Mathias Shidagisha aondolewe kwenye zoezi hilo, kushoto ni Amon Gyunda.
Mmoja wa wagombea wa Ubunge Jimbo la Iramba, Mkoani Singida, Juma Killimbah, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye ofisi za chama cha...
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Mfadhili wa CCM ahamia CHADEMA
KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mfadhili wa chama hicho, Sanito Samson na mkewe, Dativa Sanito, wamehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakielezea kuchoshwa kuchangishwa fedha au...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/1..jpg)
LETICIA NYERERE AIKACHA CHADEMA, AHAMIA CCM
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eGJdezr2p4UL3OdrPwJkRWytOEqhHeM7hDaK3Qp1pGjokmauqTykftw12g3iL1TVoEnqrNyZgrNo68MVCG2xpmWBbJ816AYf/13.gif)
LEMBELI AITOSA RASMI CCM, AHAMIA CHADEMA