Wafuasi 17 wa Chadema kortini kwa kutotii amri
WATU 17 wakiwemo viongozi watatu na wafuasi 14 wa Chadema mkoa wa Katavi wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kufanya maandamano mjini Mpanda kinyume cha sheria, wamenyimwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Mpanda.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
WAFUASI na viongozi 27 wa CHADEMA wamefikishwa kortini wakikabiliwa na mashtaka saba
WAFUASI na viongozi 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka saba yakiwemo ya kutoa maneno ya maudhi kwa askari magereza na kuharibu geti la gereza la Segerea.
Hata hivyo ni washtakiwa 15 tu ndio wamesomewa mashtaka yao leo Machi 23,2020. Hata hivyo upande wa mashtaka umeomba hati ya wito kwa washtakiwa 12 ambao hawakuwepo leo mbele ya mahakama kujibu mashtaka yao ili...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Kortini kwa kutumia majina ya CCM, Chadema
10 years ago
Michuzi
CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...
10 years ago
MichuziWAFUASI 60 WA CHADEMA AKIWEMO MGOMBEA UBUNGE MCHUNGAJI MSIGWA MATATANI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA MAWE MKUU WA FFU NA WANANCHI WALIOKUWA WAKITOKA KUMSIKILIZA DR MAGUFULI .....
Na MatukiodaimaBlogJESHI la polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mkoani Iringa watumia mabomu ya machozi kuwakamata wafuasi zaidi ya 60 wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema ) akiwemo mgombea ubunge wao jimbo la Iringa...
11 years ago
Habarileo16 Feb
Chadema wasalimu amri Arusha
KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewataka madiwani wa Mkoa wa Arusha kuhudhuria vikao vya madiwani walivyokuwa wamesusia kwa miaka kadhaa.
10 years ago
Habarileo18 Sep
Wafuasi wa Chadema mbaroni
WATU wawili wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Goodluck Hamandi (26), mkazi wa Mtoni na Fulgence Shayo (18) mkazi wa Mazimbu katika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kufanya fujo.
11 years ago
Mwananchi20 Sep
Wafuasi wa Chadema kizimbani Dar
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Wafuasi Chadema wapunguziwa mashtaka
11 years ago
Habarileo25 Sep
Wafuasi wa Chadema wapata dhamana
WAFUASI watatu wa Chadema wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kuingia katika Makao Makuu ya Jeshi hilo kinyume cha sheria, wamepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.