Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafuasi Chadema wapunguziwa mashtaka

Mahakama ya wilaya ya Bunda mkoani Mara imewafutia wafuasi watatu wa Chadema mashtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha baada ya kukosekana kwa ushahidi wa kutosha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAFUASI na viongozi 27 wa CHADEMA wamefikishwa kortini wakikabiliwa na mashtaka saba

Na Karama Kenyunko, globu ya jamii.

WAFUASI na viongozi 27 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),  wamefikishwa Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka saba yakiwemo ya kutoa maneno ya maudhi kwa askari magereza na kuharibu geti la gereza la Segerea.

Hata hivyo ni washtakiwa 15 tu ndio wamesomewa mashtaka yao leo Machi 23,2020. Hata hivyo upande wa mashtaka umeomba hati ya wito kwa washtakiwa 12 ambao hawakuwepo leo mbele ya mahakama kujibu mashtaka yao ili...

 

9 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Chadema mbaroni

WATU wawili wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Goodluck Hamandi (26), mkazi wa Mtoni na Fulgence Shayo (18) mkazi wa Mazimbu katika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kufanya fujo.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafuasi wa Chadema kizimbani Dar

Wafuasi watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) waliokamatwa ndani ya ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi juzi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI NA WAFUASI 27 WA CHADEMA KUKAMATWA

Na Karama Kenyunko Michuzi TV MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa hati ya kukamatwa kwa wafuasi watano wa Chadema  wanaokabiliwa na kesi ya jinai yenye mashitaka saba mahakamani hapo  baada ya kukiuka masharti ya dhamana.
Katika kesi hiyo, viongozi na wafuasi 27 wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka saba likiwemo la kukaidi amri halali na kuharibu geti la gereza la Segerea.
Washitakiwa hao ambao  hawajafika na kuamriwa kukamatwa ni Edga Adelin, Gerva Yenda, Regnald Masawe, Cesilia Michaeli na...

 

10 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Chadema wapata dhamana

WAFUASI watatu wa Chadema wanaokabiliwa na mashitaka ya kutotii amri ya Jeshi la Polisi na kuingia katika Makao Makuu ya Jeshi hilo kinyume cha sheria, wamepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafuasi wa Zitto, Chadema watwangana tena

Wafuasi wa Chadema wanaomuunga mkono aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe na wanaounga mkono uongozi wa juu, jana walitwangana tena muda mfupi baada ya kuondoka eneo la Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.

 

5 years ago

CCM Blog

WAFUASI WA CHADEMA MARUFUKU KUFIKA MAHAKAMANI


MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa amri kuwa  hakuna shabiki yetote atakayeruhusiwa kuingia mahakamani hapo kusikiliza rufaa iliyokatwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake saba kupinga hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Jaji Mfawidhi wa Kanda hiyo, Lameck Mlacha ametoa amri hiyo leo Aprili 28,2020 wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya kutajwa.
Amri hiyo imetolewa ikiwa ni njia moja wapo ya kuepukana na mikusanyiko katika kipindi hiki ambacho...

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi wazuia maandamano ya wafuasi wa Chadema

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya  Dar es Salaam, limeyapiga marufuku maandamano ya Chadema yasiyo na kikomo ya kupinga  kinachodaiwa ‘uporaji wa demokrasia’.

 

9 years ago

Mwananchi

Wafuasi Chadema, CCM wachapana makonde

Wafuasi wa Chadema na CCM wa Kata ya Kwenjugo wilayani hapa wamepigana ngumi hadi wengine kupata majeraha, baada ya kutokea malumbano yaliyotokana na kuingiliana kwa ratiba za mahali pa kufanyia mkutano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani