Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafuasi wa Zitto, Chadema watwangana tena

Wafuasi wa Chadema wanaomuunga mkono aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe na wanaounga mkono uongozi wa juu, jana walitwangana tena muda mfupi baada ya kuondoka eneo la Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Chadema ngoma nzito,wafuasi watwangana makonde mahakamani

>Vurugu za aina yake zimezuka katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, baada ya watu wanaodhaniwa kuwa wanachama wa Chadema  kumzomea aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho,  Zitto Kabwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Msajili wa vyama aonya vurugu za wafuasi wa Chadema na Zitto

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiepusha na vurugu na uvunjifu wa amani kinapotatua mgogoro wake na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake, Zitto Kabwe.

 

10 years ago

Vijimambo

Zitto aachia rasmi ubunge, Asema Chadema basi, wafuasi wake wamwaga chozi.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametangaza kijivua ubunge wa jimbo hilo.

Zitto ambaye alivuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wiki iliyopita baada ya kushindwa kesi aliyoifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, alitangaza uamuzi huo jana katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa soko la kijiji cha Mwandiga, mkoani Kigoma.

Zitto hakueleza ni sababu zipi zilizomlazimisha kujitoa Chadema zaidi ya kudai kuwa ni kutokana na migogoro ndani ya chama hicho.

“Ndugu zangu...

 

10 years ago

KwanzaJamii

Wafuasi CCM, CUF watwangana Dar

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akilaani kupigwa kwa waandishi wa habari na askari polisi wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe alipokuwa  akihojiwa makao makuu ya jeshi hilo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Uchaguzi wa CUF, Shaweji Mketo. Dar es Salaam. Wafuasi wa CCM na CUF jana walitwangana makonde wakigombea Uwanja wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafuasi CCM,CUF watwangana Dar

Wafuasi wa CCM na CUF jana walitwangana makonde wakigombea Uwanja wa Buguruni Chama ili kufanya mkutano wa hadhara.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto atosa wafuasi

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), aliyevuliwa nyadhifa zote za uongozi kwa madai ya usaliti, amekemea vurugu zinazofanywa na baadhi ya wanachama wanaopinga uamuzi wa chama. Zitto, amewataka wanachama...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto Kabwe aongoza kwa wafuasi wengi mtandaoni

>Matumizi ya mitandao ya kijamii yanaongezeka kila kukicha na kuleta upinzani kwa vyombo vya habari. Hii inatokana na ukweli kwamba kupitia mitandao hiyo habari husambaa kwa haraka katika muda mfupi.

 

9 years ago

Habarileo

Wafuasi wa Chadema mbaroni

WATU wawili wanaodhaniwa kuwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Goodluck Hamandi (26), mkazi wa Mtoni na Fulgence Shayo (18) mkazi wa Mazimbu katika Manispaa ya Morogoro mkoani hapa, wamekamatwa na polisi wakituhumiwa kufanya fujo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani