Wafuasi CCM,CUF watwangana Dar
Wafuasi wa CCM na CUF jana walitwangana makonde wakigombea Uwanja wa Buguruni Chama ili kufanya mkutano wa hadhara.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
KwanzaJamii22 Sep
Wafuasi CCM, CUF watwangana Dar
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akilaani kupigwa kwa waandishi wa habari na askari polisi wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe alipokuwa akihojiwa makao makuu ya jeshi hilo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Uchaguzi wa CUF, Shaweji Mketo.
Dar es Salaam. Wafuasi wa CCM na CUF jana walitwangana makonde wakigombea Uwanja wa...
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Wafuasi wa Zitto, Chadema watwangana tena
Wafuasi wa Chadema wanaomuunga mkono aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe na wanaounga mkono uongozi wa juu, jana walitwangana tena muda mfupi baada ya kuondoka eneo la Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Chadema ngoma nzito,wafuasi watwangana makonde mahakamani
>Vurugu za aina yake zimezuka katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, baada ya watu wanaodhaniwa kuwa wanachama wa Chadema kumzomea aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho, Zitto Kabwe.
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Lipumba,wafuasi 32 wa CUF watiwa ndani Jijini Dar leo
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limewakamata wananchama wa Chama cha Wananchi CUF 32 akiwemo Mwenyekiti Taifa wa chama hicho,Profesa Ibrahim Lipumba kwa kufanya maandamano ambayo si halali.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-n8AlC8yli5s/VK-cHjr7FvI/AAAAAAAG8LY/c45OIeQp1rk/s72-c/MMGM4299.jpg)
CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-n8AlC8yli5s/VK-cHjr7FvI/AAAAAAAG8LY/c45OIeQp1rk/s1600/MMGM4299.jpg)
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...
10 years ago
Uhuru Newspaper29 Jan
Wafuasi 30 wa CUF wapandishwa kizimbani
NA FURAHA OMARY
WAFUASI 30 wa Chama cha CUF, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka matatu, likiwemo la kufanya mgomo baada ya kukatazwa kukusanyika na kuandamana.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Emmilius Mchauru na kupelekwa rumande katika gereza la Segerea, kutokana na barua za wadhamini kutakiwa kuhakikiwa.
Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, washitakiwa hao ni Shabani Ngurangwa (56), Shabani Tano au...
10 years ago
GPLWAFUASI WA CUF WAPATA DHAMANA
Watuhumiwa wakisubiri kupewa dhamana katika chumba cha kusikiliza kesi. Wafuasi wa CUF wakishuka kwenye ngazi kutoka katika chumba cha kusikiliza kesi baada ya kupewa dhamana.…
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Wafuasi 30 wa CUF wapata dhamana Kisutu
Wafuasi 30 wa Chama cha Wananchi CUF wanaokabiliwa na   mashtaka matatu ya kula njama na kukaidi amri halali ya polisi na kufanya maandamano katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wameachiwa huru baada ya kukamilisha masharti ya dhamana waliyopewa.
10 years ago
GPLWAFUASI 29 WA CUF WAACHIWA KWA DHAMANA
WAFUASI 29 kati ya 30 waliokuwa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wameachiwa leo baada ya kutimiza masharti ya dhamana. Wafuasi hao walikamatwa majuzi huko Mtoni Mtongani, Dar wakati Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba akielekea Mbagala kuwataka wananchi watawanyike baada ya maandamano ya chama hicho kuzuiliwa na jeshi la polisi. Wafuasi hao 29 wameachiwa katika Mahakama ya Hakimu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania