Wafuasi CCM, CUF watwangana Dar
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akilaani kupigwa kwa waandishi wa habari na askari polisi wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe alipokuwa akihojiwa makao makuu ya jeshi hilo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Uchaguzi wa CUF, Shaweji Mketo. Dar es Salaam. Wafuasi wa CCM na CUF jana walitwangana makonde wakigombea Uwanja wa...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Sep
Wafuasi CCM,CUF watwangana Dar
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Wafuasi wa Zitto, Chadema watwangana tena
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Chadema ngoma nzito,wafuasi watwangana makonde mahakamani
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Lipumba,wafuasi 32 wa CUF watiwa ndani Jijini Dar leo
10 years ago
Michuzi
CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...
10 years ago
Uhuru Newspaper29 Jan
Wafuasi 30 wa CUF wapandishwa kizimbani
NA FURAHA OMARY
WAFUASI 30 wa Chama cha CUF, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka matatu, likiwemo la kufanya mgomo baada ya kukatazwa kukusanyika na kuandamana.
Washitakiwa hao walisomewa mashitaka hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Emmilius Mchauru na kupelekwa rumande katika gereza la Segerea, kutokana na barua za wadhamini kutakiwa kuhakikiwa.
Kwa mujibu wa hati ya mashitaka, washitakiwa hao ni Shabani Ngurangwa (56), Shabani Tano au...
10 years ago
GPLWAFUASI WA CUF WAPATA DHAMANA
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Wafuasi 30 wa CUF wapata dhamana Kisutu
10 years ago
GPLWAFUASI 29 WA CUF WAACHIWA KWA DHAMANA