Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msajili wa vyama aonya vurugu za wafuasi wa Chadema na Zitto

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiepusha na vurugu na uvunjifu wa amani kinapotatua mgogoro wake na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake, Zitto Kabwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Msajili wa vyama aonya matusi katika kampeni.

NA ELIZABETH ZAYA 8th September 2015 Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa nchini, imesema itakichukulia hatua chama chochote ambacho kitabainika kutumia lugha za matusi katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea nchini kwa sasa. Akizungumza na waandishi […]

The post Msajili wa vyama aonya matusi katika kampeni. appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Habarileo

Msajili aonya uanzishwaji wa vyama vya siasa holela

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ameonya tabia ya watu kuanzisha vyama vya siasa kama mchezo wa kuigiza na kuwarubuni Watanzania wakati ajenda zao hazina dhamira ya dhati kwa maendeleo ya nchi.

 

11 years ago

Habarileo

Msajili awaonya Chadema, Zitto

 Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis MutungiMGOGORO wa uongozi unaoendelea ndani ya Chadema, umemlazimisha Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kukemea na kutaka pande zinazopingana kuzuia wafuasi kujihusisha na vurugu na uvunjifu wa amani.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafuasi wa Zitto, Chadema watwangana tena

Wafuasi wa Chadema wanaomuunga mkono aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe na wanaounga mkono uongozi wa juu, jana walitwangana tena muda mfupi baada ya kuondoka eneo la Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam.

 

9 years ago

Vijimambo

WATU 9 WAJERUHIWA KATIKA VURUGU KATI YA MGOMBEA UBUNGE WA CHADEMA MBEYA MJINI NA WAFUASI WA CCM

Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chadema Jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi akiwa sambamba na dereva wake akibishana na wafuasi wa Chama cha Mapinduzi baada ya kuvamia eneo lao la mkutano wa kampeni za Ubunge katika kata ya Ghana.Vijana wa boda boda wanaomuunga mkono Joseph Mbilinyi wakizuiliwa na Green Guard wa CCM. Baadhi ya viongozi wa CCM wakimsihi Joseph Mbilinyi kutoendelea na safari yake na badala yake ageuze lakini bado aliendelea na maamuzi yake.Wanachama wa CCM waliokuwa kwenye...

 

10 years ago

Michuzi

CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakutana Zanzibar Januari 13, kwa kikao cha kawaida cha siku moja chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete. 
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Zitto aachia rasmi ubunge, Asema Chadema basi, wafuasi wake wamwaga chozi.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, ametangaza kijivua ubunge wa jimbo hilo.

Zitto ambaye alivuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wiki iliyopita baada ya kushindwa kesi aliyoifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, alitangaza uamuzi huo jana katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa soko la kijiji cha Mwandiga, mkoani Kigoma.

Zitto hakueleza ni sababu zipi zilizomlazimisha kujitoa Chadema zaidi ya kudai kuwa ni kutokana na migogoro ndani ya chama hicho.

“Ndugu zangu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani