Msajili awaonya Chadema, Zitto
MGOGORO wa uongozi unaoendelea ndani ya Chadema, umemlazimisha Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kukemea na kutaka pande zinazopingana kuzuia wafuasi kujihusisha na vurugu na uvunjifu wa amani.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Msajili wa vyama aonya vurugu za wafuasi wa Chadema na Zitto
9 years ago
Mtanzania02 Sep
Msajili awaonya wanasiasa wanaokiuka makubaliano
Na Mauli Muyenjwa, Dar es Salaam
MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Francis Mutungi amesema licha ya uchaguzi wa mwaka huu kughubikwa na ushindani, muda muafaka ukifika rungu litawadondokea wanasiasa wanaokwenda kinyume na makubaliano waliyoyasaini.
Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa mafunzo kwa mawakala wa usimamizi wa vyama vya siasa ya kuwaandaa katika uchaguzi mwaka wa mwaka huu.
“ Tuelewe kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi, wanasiasa wafanye amani iwe kipaumbele...
10 years ago
Mtanzania28 May
Zitto awaonya viongozi ACT-Wazalendo
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameionya sekretarieti ya uongozi wa chama hicho na kuitaka kuishi kwa maadili kwa kuzingatia katiba ya chama na kuitekeleza kwa vitendo.
Amesema uadilifu umekuwa ni changamoto kubwa katika nchi hali inayowafanya watanzania washindwe kuaminiana katika masuala mbalimbali.
Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam juzi alipofungua mkutano wa kwanza wa sekretarieti ya uongozi wa chama hicho.
Alisema iwapo watashindwa kuishi...
10 years ago
Mtanzania13 Feb
Msajili awapa kina Zitto ACT yao
![Zitto Kabwe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Zitto-Kabwe-300x204.jpg)
Zitto Kabwe
NA MICHAEL SARUNGI, DAR ES SALAAM
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imebariki mabadiliko ya uongozi yaliyowasilishwa na Katibu Mkuu wa muda wa chama cha ACT-Tanzania, Samson Mwigamba na Kaimu Mwenyekiti wake, Shaaban Mambo.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya viongozi wa chama hicho kutuhumiana hadharani kuwa kila mmoja anakivuruga chama na kusababisha Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kuingilia kati.
Chama hicho kwa muda mrefu kimekuwa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
CHADEMA: Msajili amekurupuka
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekurupuka kutoa tamko kuhusu ukomo wa viongozi wao pasipo kuzingatia kwa ukamilifu maelezo na vielelezo...
11 years ago
Mwananchi30 Jun
Msajili agomea mabadiliko Chadema
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Chadema: Ofisi ya Msajili inatumiwa
10 years ago
Vijimambo23 Apr
Msajili avipiga mkwara CCM, Chadema, CUF
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2694446/highRes/997484/-/maxw/600/-/xa75lpz/-/msajjili+picha.jpg)
Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama kurekebisha katiba zao kwenye kipengele kinachoruhusu kuanzishwa kwa vikosi vya ulinzi na usalama.Vyama vyenye vikosi cha ulinzi na usalama ni Chadema chenye Red Brigade, CCM (Green Guard), CUF (Blue Guard) na sasa ACT-Wazalendo (ACT Amani).Mutungi alisema uanzishwaji wa vikundi hivyo unakwenda kinyume na Katiba ya nchi inayolipa jeshi la polisi mamlaka ya...
11 years ago
Mwananchi01 Jul
Msajili: Mbowe, Dk Slaa hawana sifa kugombea tena Chadema