Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msajili agomea mabadiliko Chadema

>Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesema haitambui kuondolewa kwa kipengele cha ukomo wa uongozi uliofanywa na Chadema bila kufuata idhini ya mkutano mkuu wa chama hicho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA: Msajili amekurupuka

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekurupuka kutoa tamko kuhusu ukomo wa viongozi wao pasipo kuzingatia kwa ukamilifu maelezo na vielelezo...

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema: Ofisi ya Msajili inatumiwa

>Mvutano mpya umeibuka baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumvaa Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kikidai ofisi yake inatumiwa na wasaliti wa chama hicho.

 

11 years ago

Habarileo

Msajili awaonya Chadema, Zitto

 Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis MutungiMGOGORO wa uongozi unaoendelea ndani ya Chadema, umemlazimisha Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kukemea na kutaka pande zinazopingana kuzuia wafuasi kujihusisha na vurugu na uvunjifu wa amani.

 

10 years ago

Vijimambo

Msajili avipiga mkwara CCM, Chadema, CUF

Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi.
Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama kurekebisha katiba zao kwenye kipengele kinachoruhusu kuanzishwa kwa vikosi vya ulinzi na usalama.Vyama vyenye vikosi cha ulinzi na usalama ni Chadema chenye Red Brigade, CCM (Green Guard), CUF (Blue Guard) na sasa ACT-Wazalendo (ACT Amani).Mutungi alisema uanzishwaji wa vikundi hivyo unakwenda kinyume na Katiba ya nchi inayolipa jeshi la polisi mamlaka ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Msajili wa vyama aonya vurugu za wafuasi wa Chadema na Zitto

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiepusha na vurugu na uvunjifu wa amani kinapotatua mgogoro wake na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wake, Zitto Kabwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Msajili: Mbowe, Dk Slaa hawana sifa kugombea tena Chadema

>Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imesema  Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa hawana sifa za kugombea tena uongozi wa chama hicho kwa kuwa wanabanwa na katiba yao.

 

11 years ago

Habarileo

Msajili akerwa na vikundi vya ulinzi vya Chadema, CCM

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty NyahozaOFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiri kukerwa na vikundi vya ulinzi vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWAAPISHA MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA NA MSAJILI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA.

 Mhe. John Lugalema  Kahyoza akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufaa mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali mhe. Kahyoza alikuwaMsajili Mahakama Kuu ya Tanzania. Mhe. Katarina Tengia Revocati akila kiapo mbele ya Rais Jakaya kikwete baada ya kuteuliwa kuwa Msajili Mkuu  wa Mahakama  mapema hii leo Ikulu jijini Dar es Salaam, awali  Mhe. Katarina alikuwa Msajili wa Mahakama ya rufani.Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani