Msajili awapa kina Zitto ACT yao
Zitto Kabwe
NA MICHAEL SARUNGI, DAR ES SALAAM
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imebariki mabadiliko ya uongozi yaliyowasilishwa na Katibu Mkuu wa muda wa chama cha ACT-Tanzania, Samson Mwigamba na Kaimu Mwenyekiti wake, Shaaban Mambo.
Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya viongozi wa chama hicho kutuhumiana hadharani kuwa kila mmoja anakivuruga chama na kusababisha Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kuingilia kati.
Chama hicho kwa muda mrefu kimekuwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 Jan
Msajili awaonya Chadema, Zitto
MGOGORO wa uongozi unaoendelea ndani ya Chadema, umemlazimisha Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kukemea na kutaka pande zinazopingana kuzuia wafuasi kujihusisha na vurugu na uvunjifu wa amani.
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Mgogoro ACT watinga kwa msajili
10 years ago
Mtanzania05 Nov
…Awataka kina Warioba waache biashara yao
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SIKU tatu baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba kupigwa na watu waliodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amewaonya watu na vikundi vinavyoanza kufanya kampeni dhidi ya Katiba inayopendekezwa akisema muda wa kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria haujafika.
Mdahalo wa kujadili katiba inayopendekezwa ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere ulivunjika mwishoni mwa...
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Msajili wa vyama aonya vurugu za wafuasi wa Chadema na Zitto
10 years ago
Mtanzania04 Nov
Kina Zitto wawatia mbaroni vigogo TPDC
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwande na Kaimu Mkurugenzi wa shirika hilo, James Andilile, wametiwa mbaroni baada ya kukaidi amri ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyotaka kukabidhiwa mikataba 26 ya gesi kwa takribani miaka mitatu sasa.
Vigogo hao walikamatwa jana Dar es Salaam katika ofisi Ndogo za Bunge walipokutana na kamati hiyo ambayo ilikaa kama mahakama.
Tangu mwaka 2012, PAC imekuwa ikiomba...
5 years ago
MichuziMSAJILI BARAZA LA VETERINARI AWATAKA MADAKTARI WA MIFUGO KUHUISHA MAJINA YAO KWENYE DAFTARI LA USAJILI
Akizungumza na jijini Dodoma leo, Dkt. Masuruli amesema ni muhimu wataalam kuhuisha majina yao ili baraza liweze kufahamu wako wapi, wanafanya nini na wanatoa huduma gani.
"Nasisitiza madaktari wote wa mifugo ambao hawajahuisha taarifa zao kwenye daftari la usajili wa madaktari wafanye hivyo kuanzia leo...
10 years ago
Michuzi02 Oct
Taarifa Kwa Umma Kutoka Cham Cha ACT-TANZANIA Kuhusu Zitto Kabwe na Chama Cha ACT- Tanzania
Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA".
Act-Tanzania tunaeleza kuwa ni chama cha watanzania wote kisichokuwa na mmilki wake na tunaunganishwa na misingi kumi ya chama pamoja na Itikadi yetu ya Demokrasia...
10 years ago
VijimamboZITTO AWAPA POLE WANANCHI WA MASASI NA ABIRIA WALIOPATA AJALI MKONI LINDI
9 years ago
TheCitizen07 Sep
Zitto will be my PM, says ACT candidate