Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZITTO AWAPA POLE WANANCHI WA MASASI NA ABIRIA WALIOPATA AJALI MKONI LINDI

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akisaidia kuzima moto ambao uliteketeza Soko Kuu la Masasi Mkoani Mtwara, usiku wa kuamkia jana wafanyabiashara zaidi ya 1000 wamepata hassara.Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akimsikiliza Mwenyekiti wa Soko Kuu wilayani Masasi Mkoani Mtwara, Abdallah Mandoma, lililoteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana, mjini humo ambapo chanzo cha moto huo kimeelezwa ni hitilafu ya umeme.Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TATOA YAWAPA POLE WALIOPATA AJALI KASUMBALESA.

Umoja wa wamiliki magari ya mizigo TATOA umewapa pole wamiliki wa magari, madereva na wafanya biashara wanaosafirisha mizigo kuelekea Kongo DRC kufuatia ajali ya moto iliyotokea takribani wiki mbili zilizopita katika Yadi ya Whiski iliyoko jirani na mpaka wa Kasumbalesa katika nchi ya Demokrasia ya watu wa Kongo na kusababisha vifo na uharibifu wa mali.  
‘TATOA inatoa pole kwa familia na waathirika wote wa janga hili la moto kutoka nchi za Tanzania, Zambia, Zimbabwe, Congo na Afrika Kusini,...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO JANA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya  Mkoa wa Morogoro Dkt. Ritha Lyamuya alipokwenda kuwapa pole majeruhi walioumia katika msongamano mkubwa uliotokea katika mlango wa kutokea nje baada ya mkutano wa kampeni wa CCM katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana Septemba 6, 2015. Watu wawili walipoteza maisha, akiwemo mvulana wa miaka 12 aliyejulikana kwa jina la Ramadhani Abdallah na mwanamama Grace George (42), ambapo jumla ya watu 17...

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWAPA POLE MAJERUHI YA MSONGAMANO WA WANANCHI BAADA YA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI MOROGORO JANA‏

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya  Mkoa wa Morogoro Dkt. Ritha Lyamuya alipokwenda kuwapa pole majeruhi walioumia katika msongamano mkubwa uliotokea katika mlango wa kutokea nje baada ya mkutano wa kampeni wa CCM katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana Septemba 6, 2015. Watu wawili walipoteza maisha, akiwemo mvulana wa miaka 12 aliyejulikana kwa jina la Ramadhani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Papa Francis awapa pole wa Kenya

Papa atoa mkono wa pole kwa wanafunzi waliouawa nchini Kenya,na kutaka mateso ya wakristo ulimwenguni yakomeshwe.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli awapa pole Kikwete, Mkapa

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amewapa pole Rais Jakaya Kikwete na Rais mstaafu, Benjamin Mkapa kwa kuwateua watu wasiofaa.

 

10 years ago

Bongo Movies

Ndauka Atupiwa Lawama na Mashabiki, Awapa Pole!

Staa mrembo wa Bongo Movies, Rose Nduka ametupiwa lawama na baadhi ya mashabuki  wake kwa kuweka picha mtandaoni akiwa amalazwa hospital na wao kudhani kweli kumbe yupo ‘ON SET’ ya movie mpya.

Hapo jana Rose ndauka alibandika picha hiyo hapo juu akiwa amelala kwenye kitanda ya hospital na kuandika “AAR Hospital” kitendo ambacho kiliwafanya mashabiki weke wengi kudhani kuwa Rose anamwa na kuanza kumpa pole na kumuombea dua apone haraka.

Baada ya masaa kadhaa kupita, Rose akaweka tena picha...

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete amlilia Makaidi, awapa pole NLD

RAIS Jakaya Kikwete amekitumia Chama cha National League for Democracy (NLD) salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Dk Emmanuel Makaidi ambaye ameaga dunia katika Hospitali ya Mkoa wa Lindi.

 

10 years ago

GPL

BEYONCE AWAPA POLE WAFIWA MAUAJI KANISANI

Diva wa muziki wa Pop nchini Marekani, Beyonce Knowles. NEW YORK, Marekani DIVA wa muziki wa Pop nchini Marekani, Beyonce Knowles, amewapa pole wafiwa wa tukio la mauaji ya risasi ya watu 9 yaliyofanywa na kijana, Dylann Roof ndani ya Kanisa la Charleston, South Carolina, wiki iliyopita. Kijana aliyesababisha mauaji hayo Dylann Roof akiwa chini ya ulinzi. Kuonesha kuguswa na msiba huo wa kitaifa, juzikati, Beyonce aliweka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani