Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAJILI BARAZA LA VETERINARI AWATAKA MADAKTARI WA MIFUGO KUHUISHA MAJINA YAO KWENYE DAFTARI LA USAJILI

MSAJILI wa Baraza la Veterinari Tanzania, Dkt Bedan Masuruli amewataka Madaktari wa Mifugo nchini kuhuisha majina yao kwenye daftari la usajili wa madaktari wa mifugo kabla ya  Julai 1, 2020.

Akizungumza na jijini Dodoma leo,  Dkt. Masuruli amesema ni muhimu wataalam kuhuisha majina yao ili baraza liweze kufahamu wako wapi, wanafanya nini na wanatoa huduma gani.

"Nasisitiza madaktari wote wa mifugo ambao hawajahuisha taarifa zao kwenye daftari la usajili wa madaktari wafanye hivyo kuanzia leo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WANAOSHINDWA KUKUMBUKA MAJINA YAO HUCHELEWESHA UBORESHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA-JAJI KAIJAGE

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi jaji Semistocles Kaijage akizungumza na mkutano na wadau wa uchaguzi wa Mkoa wa Dar es Salaam wa kupeana taarifa juu ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani utakaoanza wiki ijayo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA


Na Richard Mwaikenda

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), amesema kitendo cha baadhi wananchi kushindwa kukumbuka majina yao, kinasababisha ucheleweshwaji wa zoezi la Uboreshaji...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Majina ya wafu(Waliokufa) yadaiwa kuwa kwenye usajili

19 Oktoba 2015 Imebadilishwa mwisho Wakazi katika maeneo mengi Zanzibar wamekuwa wakifika vituo vya tume ya uchaguzi kuhakiki taarifa zao kuhakikisha majina na maelezo kuwahusu yamenakiliwa vyema. Baadhi wamedai kuona majina ya watu waliofariki kwenye sajili. […]

The post Majina ya wafu(Waliokufa) yadaiwa kuwa kwenye usajili appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

CCM Blog

MSAJILI MKUU AWATAKA MAWAKILINA WATUMISHI KUJIKITA ZAIDI KWENYE MFUMO WA TEHAMA


Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Wilbert Chuma akizungumzia kuhusu matumizi ya mfumo wa kusajili mashauri kwa njia mtandao.
///Na Magreth  Kinabo na Innocent Kansha-  Mahakama
Watumishi wa Mahakama ya Tanzania na Mawakili wamehimizwa kuwa mstari wa mbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kupunguza msongamano wa watu mahakamani, kuepuka maambukizi ya virusi vya Corona na kuokoa gharama za  utoaji haki.
Akizungumza leo ofisini kwake, Msajili Mkuu wa Mahakama...

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE AWATAKA VIJANA KUJIANDIKISHA KWA WINGI KWENYE DAFTARI

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akishiriki mazoezi ya kukimbia mchaka mchaka yalioandaliwa na kikundi cha Tegeta Jogging and Sports Club . Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye pamoja na viongozi wengine na makada wa CCM wakishiriki mazoezi ya kukimbia mchaka mchaka yalioandaliwa na kikundi cha Tegeta Jogging and Sports Clubikiwa sehemu ya uzinduzi wa klabu hiyo ya michezo na mazoezi ya Tegeta. Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye...

 

11 years ago

Dewji Blog

RC na RAS nchini kujengewa uwezo na kuhuisha uhai wa utekelezaji wa majukumu yao

01

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akifungua mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Mikoa nchini leo jijini Dar es salaam.

02

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Hawa Ghasia akimpongeza Mgeni Rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd na mara baada ya kufungua mkutano wa mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala Mikoa nchini leo jijini Dar es salaam.

03

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEFUE AWAAGIZA WATUMISHI WA UMMA KUVAA BEJI ZENYE MAJINA YAO WAWAPO KATIKA MAENEO YAO YA KAZI


  Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue akiwaonyesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) beji yenye jina lake ambayo amewaagiza watumishi wa Umma kuivaa wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Balozi Sefue alifanya mkutano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam jana na kutoa taarifa ya Serikali kuhusu kesi ya Serious Fraud Office (SFO) dhidi ya Standard Bank.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msajili wa vyama afute usajili wa CCM

WAHENGA walisema “mkataa kikoa ni mchawi.” Mtu anayekataa kushirikiana na wenzake ni kama mchawi. Methali hii yatunasihi tusiwe na tabia ya kutoshirikiana na wenzetu. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeonyesha dhahiri...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafugaji mkoani Mara wageuka kuwa madaktari wa mifugo

Upungufu wa wataalamu wa mifugo umekuwa ukisababisha wafugaji kuingia hasara kubwa wakati yanapozuka magonjwa na pia mifugo kutokuwa na thamani inayotakiwa kutokana na kukosa ushauri sahihi kutoka kwa wataalamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani