Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kina Zitto wawatia mbaroni vigogo TPDC

TPDCNa Fredy Azzah, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwande na Kaimu Mkurugenzi wa shirika hilo, James Andilile, wametiwa mbaroni baada ya kukaidi amri ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyotaka kukabidhiwa mikataba 26 ya gesi kwa takribani miaka mitatu sasa.

Vigogo hao walikamatwa jana Dar es Salaam katika ofisi Ndogo za Bunge walipokutana na kamati hiyo ambayo ilikaa kama mahakama.

Tangu mwaka 2012, PAC imekuwa ikiomba...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Vigogo TPDC watiwa mbaroni

Askari Polisi wakiwaongoza Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwanda (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu, James Andilile (wa pili kulia) kuelekea katika gari la polisi baada ya kuwakamata kwenye Ofisi ya Bunge Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).VIGOGO wawili wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli (TPDC) jana walijikuta wakisota rumande kwa saa kadhaa baada ya kushikiliwa na Polisi, kwa kile kilichoelezwa ni kukiuka agizo la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyokuwa imeagiza ikabidhiwe mikataba 26 ya gesi iliyofikiwa kati ya Serikali na wawekezaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto yawatimua vigogo wa TPDC

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), jana iligeuka ‘mwiba mkali’ kwa watendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Kampuni ya Ranchi ya Taifa (Narco) na Wizara ya Nishati na Madini, baada ya kuwatimua wakurugenzi na wenyeviti wa bodi kwa kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma, uzembe na wizi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto yawapeleka polisi vigogo TPDC

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwanda na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, James Andilile jana walikamatwa na polisi kwa agizo la na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), inayoongozwa na Zitto Kabwe kwa kushindwa kuwasilisha mikataba 26 ya gesi na mapitio yake mbele kamati hiyo tangu mwaka 2012.

 

11 years ago

Michuzi

TANAPA WAWATIA MBARONI WAUZAJI WA PEMBE FEKI ZA FARU


Mmoja wa watuhumiwa akiwa na 'mzigo' wake ambao ni feki...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mikataba ya gesi yawaponza vigogo TPDC

KATIKA hali isiyo ya kawaida, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Michael Mwanda, jana wameshikiliwa na Jeshi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto, TPDC watoana jasho

MVUTANO mkali umeibuka kati ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), na Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), kuhusu mikataba ya gesi nchini....

 

9 years ago

Habarileo

Vigogo 15 mbaroni

WATUMISHI 15 wa Idara za Ardhi, Mipango Miji na Ujenzi katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera akiwemo Msanifu wa Majengo wa Manispaa hiyo, Abukar Issa, wanashikiliwa na Polisi kwa uchunguzi zaidi dhidi ya tuhuma za kugawa hati ya ardhi kinyume cha Sheria ya Ardhi ya Mwaka 2004.

 

11 years ago

Mwananchi

Vigogo Barclays mbaroni

Hatimaye Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetoa taarifa ya wizi uliotokea katika Benki ya Barclays, Tawi la Kinondoni Aprili 15, mwaka huu, likisema tukio hilo lilipangwa ndani ya benki hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani