Kamati ya Zitto yawapeleka polisi vigogo TPDC
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwanda na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, James Andilile jana walikamatwa na polisi kwa agizo la na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), inayoongozwa na Zitto Kabwe kwa kushindwa kuwasilisha mikataba 26 ya gesi na mapitio yake mbele kamati hiyo tangu mwaka 2012.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Kamati ya Zitto yawatimua vigogo wa TPDC
10 years ago
Mtanzania04 Nov
Kina Zitto wawatia mbaroni vigogo TPDC
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwande na Kaimu Mkurugenzi wa shirika hilo, James Andilile, wametiwa mbaroni baada ya kukaidi amri ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyotaka kukabidhiwa mikataba 26 ya gesi kwa takribani miaka mitatu sasa.
Vigogo hao walikamatwa jana Dar es Salaam katika ofisi Ndogo za Bunge walipokutana na kamati hiyo ambayo ilikaa kama mahakama.
Tangu mwaka 2012, PAC imekuwa ikiomba...
10 years ago
Mwananchi19 Nov
Vigogo Takukuru, TRA, CAG ‘kikaangoni’ Kamati ya Zitto
10 years ago
Habarileo04 Nov
Vigogo TPDC watiwa mbaroni
VIGOGO wawili wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta na Petroli (TPDC) jana walijikuta wakisota rumande kwa saa kadhaa baada ya kushikiliwa na Polisi, kwa kile kilichoelezwa ni kukiuka agizo la Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyokuwa imeagiza ikabidhiwe mikataba 26 ya gesi iliyofikiwa kati ya Serikali na wawekezaji.
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Mikataba ya gesi yawaponza vigogo TPDC
KATIKA hali isiyo ya kawaida, Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), James Andilile na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo, Michael Mwanda, jana wameshikiliwa na Jeshi...
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
Zitto, TPDC watoana jasho
MVUTANO mkali umeibuka kati ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), na Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC), kuhusu mikataba ya gesi nchini....
10 years ago
Mwananchi31 Oct
TPDC yawatunishia misuli Kamati ya PAC
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
IPTL majanga, vigogo wa Takukuru kutua kwa Zitto
KASHFA kuchota fedha kwenye Akaunti Maalum ya Escrow zaidi ya sh. bilioni 200, zilizohifadhiwa kwenye Benki Kuu ya Tanzania (BoT), limeibua tafrani mpya Bungeni baada ya baadhi ya wabunge kuhoji...
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Vigogo sita CCM waitwa Kamati ya Maadili