Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPDC yawatunishia misuli Kamati ya PAC

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeituhumu Wizara ya Nishati na Madini kwa kugoma kuwasilisha mikataba 26 ya gesi katika kamati hiyo kama ilivyoagiza siku nne zilizopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Timu ya Wizara ya Habari yawatunishia misuli Hazina.

 Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Mji wa Morogoro na viunga vyake imepambwa kwa shamra shamra za mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) yanayoendelea katika viwanja mbalimbali mjini hapo. Kwa kipindi cha wiki mbili, watumishi wamekuwa wakionesha vipaji vyao katika michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu, kuvuta kamba, riadha, mbio za baiskeli, mpira wa pete na michezo ya ndani. Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambayo ndio Wizara yenye...

 

10 years ago

Daily News

TPDC officials clash with PAC


TPDC officials clash with PAC
Daily News
Onlookers surrounding Dar es Salaam's Parliament Sub-Office were all left in dismay and disbelief. The Parliamentary Public Accounts Committee (PAC) ordered the arrest of Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) senior officials for failure to ...

 

10 years ago

Michuzi

Breaking Newwzzzzzz: Kaimu MKurugenzi WA TPDC na Mwenyekiti wake wa Bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.

Taarifa zilizotufikia hivi punde ndani ya chumba cha habari cha Globu ya Jamii,kinaleleza kuwa kaimu Mkurugenzi wa TPDC,Bwa.James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi Bwa.Michael Mwanda wamepelekwa rumande kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la  hesabu za mashirika ya umma PAC,kamati imeagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.
Kikosi kazi cha Globu ya Jamii kipo kazini kuifuatilia taarifa hii,hivyo tuendelea kupitia pitia hapa jamvini kupata...

 

10 years ago

Mwananchi

Saa 48 Kamati ya PAC zatimia leo

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) leo ndiyo siku inayotakiwa kuwasilisha kadi za magari 11 mali ya mamlaka hiyo ambayo yanadaiwa kuhamishwa umiliki wake katika mazingira ya kutatanisha na kubandikwa namba binafsi.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Uwajibikaji, Changamoto na Uweledi wa Kamati ya PAC

Uwajibikaji, Changamoto na Uweledi wa Kamati ya PAC

Mfumo thabiti wa Uwajibikaji ni moja ya jawabu muhimu sana katika kuhakikisha Taifa linaondokana na ufisadi na masuala mengine yanayorudisha nyuma maendeleo ya Tanzania. Kazi za mwisho za Kamati ya PAC katika Bunge la Kumi zilisheheni mambo mengi muhimu katika mchakato endelevu wa ujenzi wa mfumo thabiti wa uwajibikaji nchini kwetu.

Taarifa ya Mwaka iliyojadiliwa na kupitishwa na Bunge wiki iliyopita ndio ilikuwa taarifa yetu ya mwisho...

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto yawatimua vigogo wa TPDC

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), jana iligeuka ‘mwiba mkali’ kwa watendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Kampuni ya Ranchi ya Taifa (Narco) na Wizara ya Nishati na Madini, baada ya kuwatimua wakurugenzi na wenyeviti wa bodi kwa kushindwa kutoa maelezo ya kina kuhusu ubadhirifu wa fedha za umma, uzembe na wizi.

 

10 years ago

Mwananchi

Kamati ya Zitto yawapeleka polisi vigogo TPDC

Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwanda na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, James Andilile jana walikamatwa na polisi kwa agizo la na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), inayoongozwa na Zitto Kabwe kwa kushindwa kuwasilisha mikataba 26 ya gesi na mapitio yake mbele kamati hiyo tangu mwaka 2012.

 

11 years ago

Mwananchi

Tunataka kuiona tena misuli ya watunisha misuli

Pengine kama kuna mchezo uliwahi kupendwa zaidi katikati ya miaka ya 1990 ulikuwa ule wa kutunisha misuli. Mchezo huu ulitajwa kila kona, ndiyo ulioongoza kuwa na wadhamini wengi kuliko fani nyingine yoyote ya burudani na michezo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati ya Bunge PAC yabaini SMZ kulinda mafisadi

>Kamati ya  Baraza la Wawakilishi ya Kuchunguza na Kudhibiti Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC), imesema vitendo vya wizi na matumizi ya fedha za umma kinyume na sheria vinaendelea kushamiri kutokana na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kushindwa kuwachukulia hatua za kisheria watu waliohusishwa na vitendo vya ufisadi visiwani humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani