Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tunataka kuiona tena misuli ya watunisha misuli

Pengine kama kuna mchezo uliwahi kupendwa zaidi katikati ya miaka ya 1990 ulikuwa ule wa kutunisha misuli. Mchezo huu ulitajwa kila kona, ndiyo ulioongoza kuwa na wadhamini wengi kuliko fani nyingine yoyote ya burudani na michezo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Zitto aitunishia misuli CHADEMA



Ofisi ya Bunge, NEC zaikana CHADEMADk. Kitilla: Upinzani unaua demokrasia
NA WAANDISHI WETU
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amesema hatambui kufukuzwa uanachama wala ubunge wake na kwamba, ataendelea na majukumu ya kuwatumikia wananchi wake kama kawaida.

Hata hivyo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Ofisi ya Bunge, zimesema hazijapokea barua wala taarifa kutoka CHADEMA za kumvua uanachama mbunge huyo.
Aidha, baadhi ya wanasiasa akiwemo Profesa Kitila Mkumbo, wameponda uamuzi unaofanywa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanaridha aliyekiri kusisimua misuli

Mwanariadha mkenya anayeshiriki mbio za kimataifa Matthew Kisorio afichua jinsi alivyotumia dawa za kuongeza nguvu

 

10 years ago

BBCSwahili

Italy na England watunishiana misuli

Mchezo wa Italy na England umekosa mbabe baada ya kushindwa kupatikana mshindi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nauman bingwa kutunisha misuli

MUHAMMAD Nauman, ametangazwa kuwa bingwa wa michuano ya kutunisha misuli iliyofanyika kwa mara ya kwanza nchini toka mwaka 2002 katika Ukumbi wa AT Pj uliopo Kinondoni jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema, Polisi watunishiana misuli.

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limeyapiga marufuku maandamano ya wafuasi na wanachama wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) yaliyopangwa kufanyika leo, huku chama hicho kikisema yako pale pale.

Maandamano hayo yameandaliwa kwa ajili ya kushinikiza kutolewa kwa taarifa za matumizi ya Sh. milioni 720 za mradi wa ujenzi wa stendi ya mabasi ya Msamvu.

Wiki iliyopita Chadema kupitia kwa Mwenyekiti wake wa Wilaya ya Morogoro, James Mkude, kilitangaza kufanya maandamano hayo hadi katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Bella, Alikiba ‘watunishiana’ misuli

Christian Bella anasifika kwa kuwa na tungo makini na sauti nzuri yenye matamshi mwanana ilhali Alikiba ni maarufu kwa tungo na sauti inayowavutia wengi. Itakuwaje wawili hawa wakikutana pamoja?

 

11 years ago

Mwananchi

Rombo ‘wawatunishia misuli’ maofisa H/shauri

Watumishi wanne wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo juzi walijikuta katika wakati mgumu baada ya kuwekwa chini ya ulinzi wa wananchi wenye hasira, walipokwenda kutwaa ardhi ya vikongwe wawili.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbowe amtunishia misuli Waziri Mkuu

>Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB),  Freeman Mbowe amemtunishia misuli, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisema hawatishwi na kusudio alilotoa la kubadili kanuni ili kudhibiti tabia ya kambi hiyo kususia vikao vya Bunge kila wanapopinga hoja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani