Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Timu ya Wizara ya Habari yawatunishia misuli Hazina.

 Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Mji wa Morogoro na viunga vyake imepambwa kwa shamra shamra za mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) yanayoendelea katika viwanja mbalimbali mjini hapo. Kwa kipindi cha wiki mbili, watumishi wamekuwa wakionesha vipaji vyao katika michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu, kuvuta kamba, riadha, mbio za baiskeli, mpira wa pete na michezo ya ndani. Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambayo ndio Wizara yenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

TPDC yawatunishia misuli Kamati ya PAC

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeituhumu Wizara ya Nishati na Madini kwa kugoma kuwasilisha mikataba 26 ya gesi katika kamati hiyo kama ilivyoagiza siku nne zilizopita.

 

10 years ago

Dewji Blog

Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yatinga hatua ya timu 16 SHIMIWI

01

Wachezaji wa timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiomba dua kabla ya mchezo wa hatua ya mtoano katika mashindano ya SHIMIWI  uwanja wa Chuo Kikuu chaa Kilimo (SUA).

(Na Eleuteri Mangi – MAELEZO)

Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imeibuka kidedea kwa kuifunga timu ya  Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mikwaju ya penati 4 – 3.

Ushindi huo wa timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...

 

9 years ago

Michuzi

timu ya Wizara ya Habari yatembelea shule ya msingi Mtendeni jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Msaidizi Lugha, Idara ya Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Hajjat Shani Kitogo aliyenyoosha mikono akiongea na baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya msingi Mtendeni iliyopo jijini Dar es Salaam wakati timu ya Wizara ilipotembelea shule hiyo kufanya utafiti kuhusu Majina Fiche.Majina Fiche ni majina yanayotolewa kwa njia ya mafumbo baada ya kutokea kisa au mkasa Fulani kwa jamii ikiwa na lengo la kukuza na kuendeleza...

 

10 years ago

BBCSwahili

AFCON-Timu za kundi A zapasha misuli

Timu zinazoshiriki michuano ya kombe la Afrika toka kundi A ni Congo, Gabon na Burkina Faso na wenyeji Equatorial Guinea zinatofautiana kwa ubora katika viwango vya dunia vya Fifa

 

10 years ago

GPL

TIMU YA MICHEZO YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO YA HASWA KUWA MFANO KATIKA MASHINDANO YA SHIMIWI

Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Titus Mkapa akimkaribisha Mwenyekiti wa timu ya Wizara HUM Sports Club (hayupo pichani) ili atoa salama za wachezaji kwa mgeni rasmi wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wachezaji wa timu hiyo leo jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (HUM Sports Club) Dkt. Margareth Mtaki...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Michezo ya Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo ya haswa kuwa mfano katika mashindano ya SHIMIWI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akimkabidhi zawadi Mwanamichezo aliyeiletea Wizara ushindi katika mashindano ya SHIMIWI na Meimosi mwaka jana Bibi. Niuka Chande. Mchezaji huyo aliibuka mshindi katika michezo ya Draft na kurusha Tufe na kuiletea Wizara vikombe viwili. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na Mwenyekiti wa Timu ya Wizara Dkt. Margareth Mtaki.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni...

 

11 years ago

Mwananchi

Tunataka kuiona tena misuli ya watunisha misuli

Pengine kama kuna mchezo uliwahi kupendwa zaidi katikati ya miaka ya 1990 ulikuwa ule wa kutunisha misuli. Mchezo huu ulitajwa kila kona, ndiyo ulioongoza kuwa na wadhamini wengi kuliko fani nyingine yoyote ya burudani na michezo.

 

11 years ago

Michuzi

Redio nyingi hazina habari za usawa wa kijinsia - Umoja wa Mataifa

DSC_0010
Mshehereshaji Meneja wa Maadili wa Baraza la Habari Tanzania( MCT), Bw. Allan Lawa, akiwakaribisha wageni waalikwa kwenye maadhimisho ya siku ya Redio Duniani yaliyofanyika Kitaifa mkoani Dodoma. Maadhimisho hayo yameandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) na kufadhiliwa na UNESCO.
Na Mwandishi Wetu, Moblog Tanzania, Dodoma UMOJA wa Mataifa umesema kwamba bado redio nyingi duniani ziko nyuma katika kuhabarisha habari za usawa wa jinsia na sauti za wanawake na wasichana hazipati nafasi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani