AFCON-Timu za kundi A zapasha misuli
Timu zinazoshiriki michuano ya kombe la Afrika toka kundi A ni Congo, Gabon na Burkina Faso na wenyeji Equatorial Guinea zinatofautiana kwa ubora katika viwango vya dunia vya Fifa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Michuano ya Afcon kundi B
Wachezaji soka wa Afrika wataanza kumenyana wikendi hii wakati michuano ya mataifa ya Afrika itakapoanza nchini Equatoreal Guinea
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PvUq0GsWw_A/VCxj1t9g55I/AAAAAAAGnJ0/xtqRTFvVmjM/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
Timu ya Wizara ya Habari yawatunishia misuli Hazina.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO Mji wa Morogoro na viunga vyake imepambwa kwa shamra shamra za mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) yanayoendelea katika viwanja mbalimbali mjini hapo. Kwa kipindi cha wiki mbili, watumishi wamekuwa wakionesha vipaji vyao katika michezo mbalimbali ikiwemo mpira wa miguu, kuvuta kamba, riadha, mbio za baiskeli, mpira wa pete na michezo ya ndani. Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo ambayo ndio Wizara yenye...
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
AFCON:Kundi B limemenyana vikali
Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Equatorial Guinea,mzunguko wa pili uliendelea kwa timu za kundi B kumenyana.
10 years ago
BBCSwahili16 Jan
AFCON:Nchi zilizo katika kundi C
Michuano ya kuwania kombe la Afcon inaanza Jumamosi tarehe 17. Je una habari kuhusu nchi zilizo katika kundi C? Taarifa hii inakuhabarisha.
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
AFCON:Mataifa yalio katika kundi A
Kwenye orodha Fifa nchi hizi hasitoshani nguvu pia wapo wageni kama vile Congo.
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
AFCON:Kundi B lashindwa kutoa mbabe
michuano ya kombe la mataifa ya Afrika kundi B limeshindwa kuibua mbabe baada ya timu zote kutoka sare bao 1-1.
10 years ago
BBCSwahili17 Jan
AFCON : Nchi zilizo katika kundi D
Mchuano ya kuwania kombe la Afcon inaanza Jumamosi tarehe 17. Je una habari kuhusu nchi zilizo katika kundi D? Taarifa hii inakuhabarisha
10 years ago
Mwananchi29 Jan
Kundi la kifo lazibeba Ghana, Algeria Afcon
Algeria imetinga katika hatua ya robo fainali ya fainali za Mataifa ya Afrika kwa ushindi mnono wa mabao 2-0 dhidi ya Senegal katika mchezo wa mwisho wa Kundi C uliofanyika mjini Malabo juzi.
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
AFCON 2015:Makundi ya timu 16 yatajwa
Timu 16 zimepangwa kwenye makundi manne ya michuano ya AFCON 2015 nchini Equatorial Guinea
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania