Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANAPA WAWATIA MBARONI WAUZAJI WA PEMBE FEKI ZA FARU


Mmoja wa watuhumiwa akiwa na 'mzigo' wake ambao ni feki...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wachina mbaroni, wadaiwa kukutwa pembe za faru

Raia wanne Wachina wanashikiliwa Kituo cha Polisi Kyela kwa tuhuma za kukutwa na pembe 11 za faru zinazodaiwa kutokea Msumbiji zikiwa na thamani isiyopungua Sh800 milioni.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina mbaroni, wadaiwa kukutwa na pembe za faru

Raia wanne Wachina wanashikiliwa Kituo cha Polisi Kyela kwa tuhuma za kukutwa na pembe 11 za faru zinazodaiwa kutokea Msumbiji zikiwa na thamani isiyopungua Sh800 milioni.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina kizimbani kwa pembe za faru

Raia wanne kutoka China, jana walipandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya kujibu mashtaka matatu ya uhujumu uchumi likiwamo la kukutwa na pembe kumi na moja za faru zenye thamani ya Sh 902.8milioni. 

 

11 years ago

Michuzi

JK APENDEKEZA KUPIGWA MARUFUKU YA BIASHARA YA MENO YA NDOVU NA PEMBE ZA FARU DUNIANI

Rais Jakaya Kikwete akiongea kuhusu mbinu za kukabiliana na ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo na pembe za faru, ambapo katika mkutano maalumu wa tatizo hilo leo huko Lancaster House jijini London, Uingereza leo, mependekeza kupigwa marufuku kwa biashara hiyo ulimwenguni kote ili kuua biashara hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Kina Zitto wawatia mbaroni vigogo TPDC

TPDCNa Fredy Azzah, Dar es Salaam

MWENYEKITI wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Michael Mwande na Kaimu Mkurugenzi wa shirika hilo, James Andilile, wametiwa mbaroni baada ya kukaidi amri ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) iliyotaka kukabidhiwa mikataba 26 ya gesi kwa takribani miaka mitatu sasa.

Vigogo hao walikamatwa jana Dar es Salaam katika ofisi Ndogo za Bunge walipokutana na kamati hiyo ambayo ilikaa kama mahakama.

Tangu mwaka 2012, PAC imekuwa ikiomba...

 

10 years ago

Vijimambo

ASKARI WA TANAPA ASHINDA TUZO YA ULINZI WA FARU AFRIKA

1Askari Daraja la Pili Malale Patrick Mwita wa Hifadhi ya Taifa Serengeti akiongea na Wanahabari jijini Arusha kuhusiana na Tuzo ya kuwa Askari Bora wa Ulinzi wa Faru Barani Afrika aliyotunukiwa hivi karibuni nchini Afrika ya Kusini. 2Askari Daraja la Pili Malale Patrick Mwita wa Hifadhi ya Taifa Serengeti akionyesha Tuzo hiyo mbele ya Wanahabari jijini Arusha.

Askari Daraja la Pili Malale Patrick Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa Serengeti ameshinda Tuzo ya kila mwaka ya Askari Bora katika ulinzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Askari wa TANAPA ashinda tuzo ya Ulinzi wa Faru Baara la Afrika

2Meneja Mawasiliano wa Tanapa, Pascal Shelutete  (wa tatu kutoka kushoto) akitangaza ushindi wa Tuzo hiyo akiwa na maafisa wa Shirika hilo  ambao  wana jukumu la kuhifadhi maliasili kwaajili ya kizazi cha sasa na kijacho.

Mwandishi wetu,Arusha

Askari Daraja la Pili ,Malale Patrick Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa Serengeti ameshinda Tuzo ya kila mwaka ya Askari Bora katikaulinzi wa Faru kwa mwaka 2015 barani Afrika inayojulikana “2015 Rhino Conservation Awards”
Meneja Mawasiliano wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Askari wa TANAPA ashinda tuzo ya Ulinzi wa Faru Bara la Afrika

2Meneja Mawasiliano wa Tanapa, Pascal Shelutete  (wa tatu kutoka kushoto) akitangaza ushindi wa Tuzo hiyo akiwa na maafisa wa Shirika hilo  ambao  wana jukumu la kuhifadhi maliasili kwaajili ya kizazi cha sasa na kijacho.

Mwandishi wetu,Arusha

Askari Daraja la Pili ,Malale Patrick Mwita kutoka Hifadhi ya Taifa Serengeti ameshinda Tuzo ya kila mwaka ya Askari Bora katikaulinzi wa Faru kwa mwaka 2015 barani Afrika inayojulikana “2015 Rhino Conservation Awards”
Meneja Mawasiliano wa...

 

10 years ago

Michuzi

ASKARI WA TANAPA ASHINDA TUZO YA ULINZI WA FARU BARANI AFRIKA

Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa)Daraja la Pili,Malale Patrick Mwita akiwa ameshika Tuzo na Cheti alivyokabidhiwa na Mwana wa Mfalme Albert wa Pili wa Monaco nchini Afrika Kusini wiki iliyopita katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Tanapa jijini Arusha.Meneja Mawasiliano wa Tanapa,Pascal Shelutete akitangaza ushindi wa Tuzo hiyo akiwa na maafisa wa Shirika hilo  ambao wana jukumu la kuhifadhi maliasili kwaajili ya kizazi cha sasa na kijacho.Waandishi wa habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani