Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachina mbaroni, wadaiwa kukutwa pembe za faru

Raia wanne Wachina wanashikiliwa Kituo cha Polisi Kyela kwa tuhuma za kukutwa na pembe 11 za faru zinazodaiwa kutokea Msumbiji zikiwa na thamani isiyopungua Sh800 milioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wachina mbaroni, wadaiwa kukutwa na pembe za faru

Raia wanne Wachina wanashikiliwa Kituo cha Polisi Kyela kwa tuhuma za kukutwa na pembe 11 za faru zinazodaiwa kutokea Msumbiji zikiwa na thamani isiyopungua Sh800 milioni.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina kizimbani kwa pembe za faru

Raia wanne kutoka China, jana walipandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya kujibu mashtaka matatu ya uhujumu uchumi likiwamo la kukutwa na pembe kumi na moja za faru zenye thamani ya Sh 902.8milioni. 

 

11 years ago

Michuzi

TANAPA WAWATIA MBARONI WAUZAJI WA PEMBE FEKI ZA FARU


Mmoja wa watuhumiwa akiwa na 'mzigo' wake ambao ni feki...

 

10 years ago

Michuzi

MMOJA NA WENZAKE WAWILI MBARONI KWA KUKUTWA NA PEMBE ZA NDOVU MKOANI DODOMA

Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kw ajina la DOUGLAS S/O MNYEKE, Miaka 46, Mkaguru Mukulima na Mkazi wa kijiji cha Silwa Kata ya Pandambili, Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma akiwa na pembe za ndovu vipande vitatu vyenye uzito wa jumla ya kilo 12 na gramu 30 vyenye thamani ya Tshs. 11, 162, 250/= vikiwa nyumbani kwake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME –...

 

11 years ago

Michuzi

JK APENDEKEZA KUPIGWA MARUFUKU YA BIASHARA YA MENO YA NDOVU NA PEMBE ZA FARU DUNIANI

Rais Jakaya Kikwete akiongea kuhusu mbinu za kukabiliana na ujangili na biashara haramu ya meno ya tembo na pembe za faru, ambapo katika mkutano maalumu wa tatizo hilo leo huko Lancaster House jijini London, Uingereza leo, mependekeza kupigwa marufuku kwa biashara hiyo ulimwenguni kote ili kuua biashara hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA RAIA WANNE WA NCHINI CHINA WAKIWA NA PEMBE 11 ZINAZODHANIWA ZA FARU.





JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATU WANNE RAIA WA CHINA WAKIWA NA PEMBE 11 ZINAZODHANIWA ZA FARU. RAIA HAO WALIFAHAMIKA KWA MAJINA YA 1. XIAO SHAODAN (29) AKIWA NA PASSPORT NAMBA G.29624553 ILIYOTOLEWA NCHINI CHINA 2. CHEN JIANLIN (33) AKIWA NA PASSPORT NAMBA E.09800855 ILIYOTOLEWA NCHINI CHINA 3. SONG LEI (30) AKIWA NA PASSPORT NAMBA G.52064944 ILIYOTOLEWA NCHINI CHINA NA 4. HU LIANG (30) WOTE WAKAZI WA BLANTYRE NCHINI MALAWI.


WATUHUMIWA HAO WALIKAMATWA MNAMO TAREHE...

 

11 years ago

Mwananchi

Wadaiwa kukutwa na sukari chafu Mbeya

Mapya yamefichuka jijini hapa baada ya watu sita kushikiliwa polisi kwa tuhuma za kukutwa na tani 10 za sukari waliyokuwa wakiibadilisha kutoka kwenye mifuko ya kilo 50 kwenda mifuko ya kilo moja iliyotengenezwa nchini Malawi.

 

11 years ago

Habarileo

Wanigeria 3 wadaiwa kukutwa na ‘unga’ kwenye vitabu

RAIA watatu wa Nigeria na Mtanzania, wamekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam wakituhumiwa wakitaka kusafirisha dawa za kulevya, zikiwa kwenye vitabu kwenda nje ya nchi. Watuhumiwa hao wanadaiwa walikuwa katika harakati za kutuma dawa hizo kwa kutumia Wakala wa Usafirishaji Mizigo ya DHL kwenda Liberia.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili wadaiwa kutelekeza begi la pembe za Tembo

>Watu wawili wanaosadikiwa ni majangili wametelekeza  begi  moja likiwa na vipande saba vya pembe za Tembo,  vyenye uzito wa kilo 19 vikiwa na  thamani ya zaidi ya Sh45 milioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani