Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanigeria 3 wadaiwa kukutwa na ‘unga’ kwenye vitabu

RAIA watatu wa Nigeria na Mtanzania, wamekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam wakituhumiwa wakitaka kusafirisha dawa za kulevya, zikiwa kwenye vitabu kwenda nje ya nchi. Watuhumiwa hao wanadaiwa walikuwa katika harakati za kutuma dawa hizo kwa kutumia Wakala wa Usafirishaji Mizigo ya DHL kwenda Liberia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mahakamani kwa kukutwa na ‘unga’ wa Sh244 milioni

Raia wa mmoja wa Ugiriki, Alexandris Athanasions (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kukamatwa akiingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroine zenye thamani ya Sh 244.350 milioni.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadaiwa kukutwa na sukari chafu Mbeya

Mapya yamefichuka jijini hapa baada ya watu sita kushikiliwa polisi kwa tuhuma za kukutwa na tani 10 za sukari waliyokuwa wakiibadilisha kutoka kwenye mifuko ya kilo 50 kwenda mifuko ya kilo moja iliyotengenezwa nchini Malawi.

 

11 years ago

GPL

WAIRAN KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA ‘UNGA’ MELINI

Washitakiwa wakipelekwa kizimbani. Msafara wa kuelekea kizimbani. Wakisubiri kupandishwa…

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina mbaroni, wadaiwa kukutwa na pembe za faru

Raia wanne Wachina wanashikiliwa Kituo cha Polisi Kyela kwa tuhuma za kukutwa na pembe 11 za faru zinazodaiwa kutokea Msumbiji zikiwa na thamani isiyopungua Sh800 milioni.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina mbaroni, wadaiwa kukutwa pembe za faru

Raia wanne Wachina wanashikiliwa Kituo cha Polisi Kyela kwa tuhuma za kukutwa na pembe 11 za faru zinazodaiwa kutokea Msumbiji zikiwa na thamani isiyopungua Sh800 milioni.

 

10 years ago

GPL

KWA NINI WANIGERIA WANAKIMBIZA KWENYE TELEVISHENI?

Na Arme Nando Katika siku za hivi karibuni, imekuwa kawaida kwa vituo vya televisheni vya Bongo kupiga sana video za muziki za wasanii wa Kinigeria kuliko hata za wazawa. Mkali wa Bongo Fleva, Nasib Abdul, 'Diamond Platinum'.
Kila kukicha wasanii wa Nigeria wanazidi kuongezeka na kazi zao zinazidi kuwa nzuri. Mfano wa wasanii waliochipukia juzijuzi na kupata umaarufu mkubwa ni Runtown na ngoma yake Gallardo, Pakorant na ngoma...

 

9 years ago

StarTV

 Utamaduni ya kujisomea vitabu wadaiwa kudorora kwa  Madadiliko Ya Kijamii

 

Kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kunatajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na Watanzania kuacha utamaduni wa kujisomea ambapo mabadiliko ya kijamii yakidaiwa kuharibu utamaduni huo.

Inaelezwa kuwa watoto na wazazi huchukua muda mwingi kuangalia televisheni na hivyo kutotilia maanani suala la kujisomea na kuwahamasisha watoto kusoma vitabu mbalimbali vyenye mafunzo ya kuwajengea uwezo katika maisha yao.

 Hili la kudumaa kwa utamaduni wa kujisomea limesababisha pia kudumaa na kushuka kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAGAZETI, MAJARIDA NA VITABU VYOTE KWENYE SIMU YAKO YA MKONONI.


Je umekwishawahi kukwama kwenye foleni ukajutia kutobeba gazeti walau likusaidie kusogeza muda mbele? Je umekwisha wahi kutafuta chanzo cha habari za uhakika kwenye simu yako ukakikosa?
Je umekwishawahi kuambiwa kuna tangazo la kazi au tenda ila ukashindwa kuliona kwa vile lipo kwenye gazeti la siku za nyuma? Je umeshawahi kulazimika kuchoma au kutupa magazeti ya siku za nyuma kwa sababu yamejaa sana nyumbani kwako? Au je umeshawahi kuhisi kuna umuhimu wa kuona watoto wako wanachojifunza...

 

9 years ago

Bongo5

Olivier Giroud aingia kwenye vitabu vya rekodi za Arsenal

2F56C70800000578-0-image-m-23_1450049724758

Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal na timu ya tafifa ya Ufaransa Olivier Giroud baada ya kufunga wikiend hii amefikisha idadi ya magoli 50 katika ligi ya EPL goli hilo la mkwaju wa penati katika mchezo dhidi ya Aston Villa baada ya Alan Hutton kumvuta Theo Walcott kwenye eneo la box.

2F56C70800000578-0-image-m-23_1450049724758

2F59569700000578-3358700-image-a-40_1450051755102

Giroud alifunga mkwaju huo wa penati na kufikisha magoli 14 msimu huu na kuwa mchezaji wa saba wa Arsenal kufunga magoli 50 kwenye ligi ya EPL wakati yeye ikimchukua michezo 113 kufikia rekodi hiyo.

2F56C0DB00000578-0-image-a-24_1450049738140

Wachezaji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani