Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAIRAN KIZIMBANI KWA KUKUTWA NA ‘UNGA’ MELINI

Washitakiwa wakipelekwa kizimbani. Msafara wa kuelekea kizimbani. Wakisubiri kupandishwa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mahakamani kwa kukutwa na ‘unga’ wa Sh244 milioni

Raia wa mmoja wa Ugiriki, Alexandris Athanasions (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shtaka la kukamatwa akiingiza nchini dawa za kulevya aina ya heroine zenye thamani ya Sh 244.350 milioni.

 

11 years ago

Michuzi

News alert: watu 12 raia wa iran na pakistani kizimbani kwa kukutwa na 'sembe' kilo 200.5 bahari kuu

Watu 12 rais wa Iran na Pakistani wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, wakikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na kuingiza nchini kilo 200.5 za dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya Sh. bilioni 9.022.   Washtakiwa hao ni, Kepteni Ayoub Mohamed raia wa Irani, Wavuvi, Buksh Mohamed raia wa Pakistani, wa Irani Buksh Mohamed, Fahiz Dauda, Rahim Baksh wa Pakistani, wa Iran Khalid Ally na Abdul Somad.  Wengine ni raia wa Pakistani Abdul Bakashi,...

 

11 years ago

Habarileo

Wanigeria 3 wadaiwa kukutwa na ‘unga’ kwenye vitabu

RAIA watatu wa Nigeria na Mtanzania, wamekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam wakituhumiwa wakitaka kusafirisha dawa za kulevya, zikiwa kwenye vitabu kwenda nje ya nchi. Watuhumiwa hao wanadaiwa walikuwa katika harakati za kutuma dawa hizo kwa kutumia Wakala wa Usafirishaji Mizigo ya DHL kwenda Liberia.

 

10 years ago

Michuzi

CHID BENZ APANDISHWA KIZIMBANI JIJINI DAR LEO KWA SHITAKA LA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA,AKOSA DHAMANA, KESI YAKE KUTAJWA TENA NOVEMBA 11

MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya (bongo fleva), Rashidi Abdallah Makwaro (29), maarufa kama Chid Benz, amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashitaka matatu ikiwemo kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin yenye thamani ya Sh. 38,638, bangi ya Sh. 1,720 na vifaa ya kuvutia dawa hizo kijiko na kigae.
Chid Benz amefikishwa  mapema leo saa 3:00 asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kusomewa mashitaka yake. Saa 7:50 mchana alifikishwa mbele ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Bibi wa ‘unga’ kupandishwa kizimbani leo

Bibi, raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) aliyevunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), atafikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kujibu mashtaka yanayomkabili.

 

11 years ago

Mwananchi

Bibi wa ‘unga’ asomewa shtaka, apanda kizimbani

Hatimaye ‘Bibi wa unga’ raia wa Nigeria, Olabis Ibidun Cole (65), amepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka linalomkabili kwa lugha ya Kiingereza.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Zaidi ya watalii 1700 wawekwa karantini melini kwa hofu ya maambukizi Afrika Kusini

Zaidi ya watu 1,700 wamewekwa karantini kwenye meli ya kitalii na meli ya kubeba mizigo kwenye pwani ya Cape Town nchini Afrika Kusini kwa hofu kwamba baadhi yao wameambukizwa na virusi vya corona.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wairan wafurahia makubaliano ya nyuklia

Maelfu ya raia wa Iran wamekuwa wakishangilia mitaani kufutia makubaliano mapya ya mpango wa nyuklia kati ya Iran na mataifa makubwa yenye nguvu duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani