News alert: watu 12 raia wa iran na pakistani kizimbani kwa kukutwa na 'sembe' kilo 200.5 bahari kuu
Watu 12 rais wa Iran na Pakistani wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, wakikabiliwa na mashitaka ya kukutwa na kuingiza nchini kilo 200.5 za dawa za kulevya aina ya heroin zenye thamani ya Sh. bilioni 9.022. Washtakiwa hao ni, Kepteni Ayoub Mohamed raia wa Irani, Wavuvi, Buksh Mohamed raia wa Pakistani, wa Irani Buksh Mohamed, Fahiz Dauda, Rahim Baksh wa Pakistani, wa Iran Khalid Ally na Abdul Somad. Wengine ni raia wa Pakistani Abdul Bakashi,...
Michuzi