Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bibi wa ‘unga’ kupandishwa kizimbani leo

Bibi, raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) aliyevunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), atafikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kujibu mashtaka yanayomkabili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bibi wa ‘unga’ asomewa shtaka, apanda kizimbani

Hatimaye ‘Bibi wa unga’ raia wa Nigeria, Olabis Ibidun Cole (65), amepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka linalomkabili kwa lugha ya Kiingereza.

 

10 years ago

GPL

MTANZANIA ALIYEKAMATWA KWA SHAMBULIO LA GARRISA KUPANDISHWA KIZIMBANI LEO

Mtanzania aliyekamatwa Kenya akishukiwa kuhusika na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa wiki iliyopita Rashid Charles Mberesero. Mtanzania aliyekamatwa Kenya akishukiwa kuhusika na shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa wiki iliyopita lililosababisha vifo vya watu takribani 150 na wengine wengi kuachwa majeruhi, Rashid Charles Mberesero mwenye umri wa miaka 20 ni mwanafunzi wa kidato cha tano katika...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

BREAKING NEWS!!! - KAFULILA KUPANDISHWA KIZIMBANI



David Kafulila (Mbg)
SAKATA la Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL), kutuhumiwa kuchota fedha katika akaunti ya Escrow, limechukua sura mpya baada ya kampuni hiyo kuamua kumburuta mahakamani Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na kumfungulia kesi ya madai ya sh. bilioni 310.
IPTL kwa kushirikiana na Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited na Mtendaji Mkuu wa kampuni hizo, Harbinder Sign Seth, wamemburuta Kafulila katika Mahakama Kuu ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kamanda wa LRA kupandishwa kizimbani ICC

Kamanda wa ngazi ya juu wa kundi la waasi la Lord resistance Army,Dominic Ong'wen atafikishwa katika mahakama ya kimataifa ya ICC

 

10 years ago

Tanzania Daima

Chid Benz kupandishwa kizimbani kesho

MSANII wa muziki wa hip hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benzi’ anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukamatwa na dawa za kulevya na kesho anatarajiwa kufikishwa mahakamani. Chidi...

 

10 years ago

Habarileo

Vigogo 5 TRL kupandishwa kizimbani kashfa ya mabehewa

WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel SittaMAOFISA watano wa Serikali, wanatarajiwa kupandishwa kizimbani hivi karibuni, kutokana na kashfa ya uagizaji wa mabehewa 274 kutoka India, huku wengine wakitarajiwa kuchukuliwa hatua za kiutawala.

 

9 years ago

GPL

GWAJIMA APEWA SIKU 14 KUMFUFUA KAKA YAKE AU KUPANDISHWA KIZIMBANI

Shamma Gwajima (kulia) akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani) kushoto ni Raphah Gwajima. Watoto hao wakisikiliza kwa makini maswali kutoka kwa waandishi wa habari kabla ya kuyajibu.
Wanahabari wakiuliza maswali.…

 

11 years ago

Mwananchi

‘Bibi wa unga’ amwaga machozi mahakamani

Hatimaye bibi raia wa Nigeria aliyekamatwa na dawa za kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA), jana aliangua kilio baada ya kupandishwa kizimbani na kusomewa shtaka la kusafirisha dawa za kulevya.

 

11 years ago

Mwananchi

Bibi anaswa amebeba ‘unga’ Uwanja wa Ndege Dar

Bibi mmoja raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) amevunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani