Bibi anaswa amebeba ‘unga’ Uwanja wa Ndege Dar
Bibi mmoja raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) amevunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Anaswa na kete 71 Uwanja wa Ndege Dar
 Polisi Kikosi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), wamemkamata mkazi wa Temeke, Mwanahamisi Salim (27) kwa tuhuma za kumeza kete 71 za dawa za kulevya aina ya heroini zenye thamani ya zaidi ya Sh60 milioni.
11 years ago
Michuzi25 Feb
zungu la unga ladakwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa julius nyerere dar es salaam
![](https://3.bp.blogspot.com/-9DbLzcZqnzw/UwtyFbb9D9I/AAAAAAAAPjU/s_AL9XyaXVY/s640/Alexamdrios+Atanasios.jpg)
Habari zinasema mzungu huyo alikamatwa wakati wa upekuzi, akijiandaa kupanda ndege ya Swiss air kueleke jijini Zurich, Uswisi.
Madawa hayo yalikutwa yakiwa yamefichwa kwenye “sakafu” ya begi lake baada ya mitambo ya kisasasa yaupekuzi, kugundua kuwa kulikuwa na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0jwS8IDgkuWdK0xj6jioKWbgPBvbpzvFfTuzZ6booVxEByt0*umZnniY0Mx3z1phEM95npsqQ*1i2cdIWx1R6*R9WHz6y0zT/bilionea.jpg?width=650)
BILIONEA ANASWA KWA UNGA DAR
Na Makongoro Oging' BILIONEA maarufu jijini Dar es Salaam, Ali Khatibu Haji ‘Shkuba’(44) ambaye alikuwa akisakwa kwa muda mrefu na Kikosi Maalum cha Polisi Tanzania kwa madai ya kujihusisha na biashara haramu ya ‘unga’, amenaswa. Vyanzo vililiambia gazeti hili kwamba, mtuhumiwa huyo alikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar, Februari 23, mwaka huu, saa sita mchana...
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Mnigeria mwingine anaswa na ‘unga’ Dar
Raia wa Nigeria, Anthony Ifeanyichukwa Okafor (52), amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akidaiwa kumeza kete 100 za dawa za kulevya aina ya cocaine ambazo thamani yake bado haijafahamika.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mho3iXQWZ3E/VNX41uzHDhI/AAAAAAAHCV0/os9wcy76dUU/s72-c/0L7C1936.jpg)
Shamba la Bibi na Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam toka angani
![](http://4.bp.blogspot.com/-mho3iXQWZ3E/VNX41uzHDhI/AAAAAAAHCV0/os9wcy76dUU/s1600/0L7C1936.jpg)
10 years ago
Vijimambo05 Mar
NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK
11 years ago
Mwananchi27 May
‘Bibi wa unga’ amwaga machozi mahakamani
Hatimaye bibi raia wa Nigeria aliyekamatwa na dawa za kulevya kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA), jana aliangua kilio baada ya kupandishwa kizimbani na kusomewa shtaka la kusafirisha dawa za kulevya.
11 years ago
Mwananchi26 May
Bibi wa ‘unga’ kupandishwa kizimbani leo
Bibi, raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) aliyevunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), atafikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu kujibu mashtaka yanayomkabili.
11 years ago
Mwananchi28 May
Bibi wa ‘unga’ asomewa shtaka, apanda kizimbani
Hatimaye ‘Bibi wa unga’ raia wa Nigeria, Olabis Ibidun Cole (65), amepandishwa kizimbani na kusomewa shtaka linalomkabili kwa lugha ya Kiingereza.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania