Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BILIONEA ANASWA KWA UNGA DAR

Na Makongoro Oging' BILIONEA maarufu jijini Dar es Salaam, Ali Khatibu Haji ‘Shkuba’(44) ambaye alikuwa akisakwa kwa muda mrefu na Kikosi Maalum cha Polisi Tanzania kwa madai ya kujihusisha na biashara haramu ya ‘unga’, amenaswa. Vyanzo vililiambia gazeti hili kwamba, mtuhumiwa huyo alikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar, Februari 23, mwaka huu, saa sita mchana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BILIONEA WA UNGA ATIKISA DAR

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HII kali! Kukamatwa na polisi kwa mfanyabiashara bilionea jijini Dar, Mharami Mohamed Abadallah ‘Chonji’ (44) (aliyezungushiwa duara) hivi karibuni akidaiwa kukutwa na madawa ya kulevya ‘unga’ aina ya heroin yenye thamani ya shilingi 300,000,000 kumelitikisa Jiji la Dar, Uwazi limefuatalia hatua kwa hatua. Mfanyabiashara bilionea jijini Dar, Mharami...

 

11 years ago

Mwananchi

Mnigeria mwingine anaswa na ‘unga’ Dar

Raia wa Nigeria, Anthony Ifeanyichukwa Okafor (52), amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akidaiwa kumeza kete 100 za dawa za kulevya aina ya cocaine ambazo thamani yake bado haijafahamika.

 

11 years ago

Mwananchi

Bibi anaswa amebeba ‘unga’ Uwanja wa Ndege Dar

Bibi mmoja raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) amevunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

 

10 years ago

GPL

KESI BILIONEA WA UNGA YAPIGWA KALENDA

Bilionea Mharami akiwa na wahalifu wenzake wanne chini ya ulinzi mkali ndani ya Mahakama ya Kisutu. (Picha na Maktaba yetu) KESI inayomkabili mfanyabiashara bilionea jijini Dar, Mharami Mohamed Abadallah ‘Chonji’ (44) anayedaiwa kukutwa na madawa ya kulevya ‘unga’ aina ya heroin yenye thamani ya shilingi 300,000,000 imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar na kuahirishwa mpaka Novemba...

 

10 years ago

GPL

ASKOFU ANASWA NA UNGA!

Stori: MAKONGORO OGING’ na Haruni Sanchawa               
KIMENUKA! Vigogo wa madawa ya kulevya wakiwemo viongozi wa dini sasa wanaanza kupukutika kutoka kwenye mstari wa siri huku baadhi yao wakikimbilia nje ya nchi kufuatia oparesheni kali inayofanywa na Kikosi cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulenya Tanzania kuwanasa kila kukicha, Uwazi  lina mchoro kamili. Askofu...

 

10 years ago

GPL

RAFIKI WA LULU ANASWA NA UNGA!

Mwandishi wetu
Jamaa ambaye inasemekana ni rafiki wa karibu wa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ aitwaye Morris Sekwao ‘Junior’ inadaiwa amepata msala ‘hevi’ baada ya kutiwa mbaroni nchini Nigeria akituhumiwa kunaswa na madawa ya kulevya ‘unga’.Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa familia ya Junior zilidai kuwa, jamaa huyo alipatwa na mkasa huo hivi...

 

11 years ago

GPL

BILIONEA DAR AJIUA KWA RISASI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
NI jambo lililotoa mshtuko kwa Jeshi la Polisi Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani ambapo Desemba 10, mwaka huu, walikuta mwili wa binadamu ukiwa ndani ya gari lililopinduka, pembeni mwa Barabara ya Kisarawe - Mwaneromango. Mbali na mwili, ndani ya gari hilo aina ya Toyota RAV 4 (milango mitatu new model) lenye namba za usajili T 273 AKP kulikutwa bastola moja, risasi 85 na magazini...

 

11 years ago

Mwananchi

Dar hatarini kwa unga wa lishe, visima vya maji

>Visima vingi vya maji vilivyochimbwa jijini Dar es Salaam na unga wa lishe kwa watoto umeelezwa kutokuwa salama kwa afya za watumiaji, kulingana na utafiti uliofanywa hivi karibuni na Ofisi ya Wakala wa Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA).

 

10 years ago

GPL

MWANAFUNZI WA KIKE MIAKA 11 ANASWA KWA TUHUMA ZA WIZI DAR

Mwanafunzi wa kike wa Shule ya Msingi Upendo iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam mwenye umri wa miaka 11 amenaswa na Jeshi la Polisi Dar leo eneo la Posta kwa tuhuma za wizi na utapeli wa njia za udanganyifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani