Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnigeria mwingine anaswa na ‘unga’ Dar

Raia wa Nigeria, Anthony Ifeanyichukwa Okafor (52), amekamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akidaiwa kumeza kete 100 za dawa za kulevya aina ya cocaine ambazo thamani yake bado haijafahamika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BILIONEA ANASWA KWA UNGA DAR

Na Makongoro Oging' BILIONEA maarufu jijini Dar es Salaam, Ali Khatibu Haji ‘Shkuba’(44) ambaye alikuwa akisakwa kwa muda mrefu na Kikosi Maalum cha Polisi Tanzania kwa madai ya kujihusisha na biashara haramu ya ‘unga’, amenaswa. Vyanzo vililiambia gazeti hili kwamba, mtuhumiwa huyo alikamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar, Februari 23, mwaka huu, saa sita mchana...

 

11 years ago

Mwananchi

Bibi anaswa amebeba ‘unga’ Uwanja wa Ndege Dar

Bibi mmoja raia wa Nigeria, Olabisi Ibidun Cole (65) amevunja rekodi ya umri wa watu wanaokamatwa wakiwa na dawa za kulevya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).

 

11 years ago

GPL

TRAFIKI MWINGINE FEKI ANASWA DAR!

Stori: Makongoro Oging’ KWA mara nyingine tena makachero wa polisi wamefanikiwa kumnasa trafiki feki ambaye anadaiwa kutikisa Jiji la Dar es Salaam kwa ukamataji wa magari na kuwatoa fedha madereva, Uwazi lina mchapo kamili. Trafiki feki aliyenaswa na Polisi anadaiwa kutikisa Jiji la Dar es Salaam anzo chetu ndani ya jeshi la polisi, kinaeleza kwamba trafiki huyo feki anayejulikana kwa jina la Robinson Seif (30)...

 

11 years ago

Michuzi

ASKARI FEKI MWINGINE WA USALAMA BARABARANI ANASWA DAR

 Askari feki wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama barabarani huku akifahamu kuwa ni kosa kisheria. Inasemekana Mtuhumiwa aliwahi kuwa askari wa Usalama barabarani ambapo kituo chake cha Kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na ni mmoja kati ya askari waliofukuzwa kazi kwa kuenda kinyume na taratibu na sheria za Jeshi la Polisi Tanzania
 Askari Polisi ambae jina...

 

10 years ago

GPL

ASKOFU ANASWA NA UNGA!

Stori: MAKONGORO OGING’ na Haruni Sanchawa               
KIMENUKA! Vigogo wa madawa ya kulevya wakiwemo viongozi wa dini sasa wanaanza kupukutika kutoka kwenye mstari wa siri huku baadhi yao wakikimbilia nje ya nchi kufuatia oparesheni kali inayofanywa na Kikosi cha Kupambana na Kudhibiti Madawa ya Kulenya Tanzania kuwanasa kila kukicha, Uwazi  lina mchoro kamili. Askofu...

 

10 years ago

GPL

RAFIKI WA LULU ANASWA NA UNGA!

Mwandishi wetu
Jamaa ambaye inasemekana ni rafiki wa karibu wa staa mkubwa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ aitwaye Morris Sekwao ‘Junior’ inadaiwa amepata msala ‘hevi’ baada ya kutiwa mbaroni nchini Nigeria akituhumiwa kunaswa na madawa ya kulevya ‘unga’.Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa familia ya Junior zilidai kuwa, jamaa huyo alipatwa na mkasa huo hivi...

 

11 years ago

GPL

DAKTARI MWINGINE FEKI ANASWA HOSPITALI YA RUFAA MORO

Askari Polisi wakimtoa nje daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye ofisi ya Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako alihojiwa kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa mahojiano zaidi. Daktari feki akielekea kwenye gari.…

 

10 years ago

GPL

BILIONEA WA UNGA ATIKISA DAR

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
HII kali! Kukamatwa na polisi kwa mfanyabiashara bilionea jijini Dar, Mharami Mohamed Abadallah ‘Chonji’ (44) (aliyezungushiwa duara) hivi karibuni akidaiwa kukutwa na madawa ya kulevya ‘unga’ aina ya heroin yenye thamani ya shilingi 300,000,000 kumelitikisa Jiji la Dar, Uwazi limefuatalia hatua kwa hatua. Mfanyabiashara bilionea jijini Dar, Mharami...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani