BREAKING NEWS!!! - KAFULILA KUPANDISHWA KIZIMBANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-h6p8VnU0RP0/U8KQQwUO9oI/AAAAAAAABWc/z8OOKwhaWbA/s72-c/kafulila.jpg)
David Kafulila (Mbg)
SAKATA la Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania (IPTL), kutuhumiwa kuchota fedha katika akaunti ya Escrow, limechukua sura mpya baada ya kampuni hiyo kuamua kumburuta mahakamani Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) na kumfungulia kesi ya madai ya sh. bilioni 310.
IPTL kwa kushirikiana na Kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited na Mtendaji Mkuu wa kampuni hizo, Harbinder Sign Seth, wamemburuta Kafulila katika Mahakama Kuu ya...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-k9tNhOuNGs0/VTdLuarrReI/AAAAAAAHSc4/0OcVIZhiN4Y/s72-c/6621067.png)
NEWS ALERT: KAFULILA APANDISHWA KIZIMBANI KWA KUMTUKANA MKUU WA WILAYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-k9tNhOuNGs0/VTdLuarrReI/AAAAAAAHSc4/0OcVIZhiN4Y/s1600/6621067.png)
MBUNGE wa Jimbo la Kigoma Kusini Mhe. David Kafulila amepandishwa kizimbani katika mahakama ya Wilaya ya Kigoma kujibu shitaka la kutumia lugha ya matumisi dhidi ya Mkuu wa Wilaya Uvinza Khadija Nyembo.
Kafulila alifikishwa mahakamani hapo majira ya saa mbili asubuhi akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.
Mbele ya Hakimu David Ngunyale,Wakili wa Serekali Marysinta Lazaro alidai kuwa Kafulila alitenda kosa hilo tarehe 1 mwezi wa 8 mwaka 2013 katika kata...
10 years ago
BBCSwahili26 Jan
Kamanda wa LRA kupandishwa kizimbani ICC
10 years ago
Tanzania Daima26 Oct
Chid Benz kupandishwa kizimbani kesho
MSANII wa muziki wa hip hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benzi’ anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukamatwa na dawa za kulevya na kesho anatarajiwa kufikishwa mahakamani. Chidi...
11 years ago
Mwananchi26 May
Bibi wa ‘unga’ kupandishwa kizimbani leo
10 years ago
Habarileo31 May
Vigogo 5 TRL kupandishwa kizimbani kashfa ya mabehewa
MAOFISA watano wa Serikali, wanatarajiwa kupandishwa kizimbani hivi karibuni, kutokana na kashfa ya uagizaji wa mabehewa 274 kutoka India, huku wengine wakitarajiwa kuchukuliwa hatua za kiutawala.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dMNnaPiQ3Vgfiq-3vlG-w4UVnMP1zH-mny-HsZeXAodcnMN677M1HaNyBRZ-x85lDlD2abcLoVcBm8YaWn-MousulAry-RA2/mbongo.jpg)
MTANZANIA ALIYEKAMATWA KWA SHAMBULIO LA GARRISA KUPANDISHWA KIZIMBANI LEO
9 years ago
GPLGWAJIMA APEWA SIKU 14 KUMFUFUA KAKA YAKE AU KUPANDISHWA KIZIMBANI
11 years ago
Habarileo14 Jul
Kafulila kizimbani
KAMPUNI ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imemfungulia kesi Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila (NCCR-Mageuzi) katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ikimtaka aombe radhi na kulipa fidia ya Sh bilioni 310.
10 years ago
Michuzi31 Jul
BREAKING NEWSSSS !!!!!!! KESI YA IPTL DHIDI YA KAFULILA YATUPWA NJE.
Katika shauri hilo, Kampuni ya IPTL,PAP na Herbinder Singh Sethi walitaka Mahakama...