KWA NINI WANIGERIA WANAKIMBIZA KWENYE TELEVISHENI?
![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIkVRPqb3plqonKfw51WM6EDjmlhNoZQutQvpBv6U31CMmkYwLHD35dvd*zqW5H6mjSE-tw2Uj2jUrONi-At4U1s/PicMonkeyCollage.jpg?width=650)
Na Arme Nando Katika siku za hivi karibuni, imekuwa kawaida kwa vituo vya televisheni vya Bongo kupiga sana video za muziki za wasanii wa Kinigeria kuliko hata za wazawa. Mkali wa Bongo Fleva, Nasib Abdul, 'Diamond Platinum'. Kila kukicha wasanii wa Nigeria wanazidi kuongezeka na kazi zao zinazidi kuwa nzuri. Mfano wa wasanii waliochipukia juzijuzi na kupata umaarufu mkubwa ni Runtown na ngoma yake Gallardo, Pakorant na ngoma...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Mar
Wanigeria 3 wadaiwa kukutwa na ‘unga’ kwenye vitabu
RAIA watatu wa Nigeria na Mtanzania, wamekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam wakituhumiwa wakitaka kusafirisha dawa za kulevya, zikiwa kwenye vitabu kwenda nje ya nchi. Watuhumiwa hao wanadaiwa walikuwa katika harakati za kutuma dawa hizo kwa kutumia Wakala wa Usafirishaji Mizigo ya DHL kwenda Liberia.
10 years ago
BBCSwahili29 Mar
Wanigeria wasifiwa kwa uvumilivu
5 years ago
BBCSwahili19 Apr
Virusi vya corona: Kwa nini watu hawa wanajitenga kwenye miti
11 years ago
MichuziUzinduzi wa Matangazo ya Televisheni ya Dijitali kwenye Manispaa ya Mji wa Kahama
9 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Sep
Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura?
Hakuna shaka kua ccm wanataka kufanya wizi wa kubadilisha madokeo ya kura za Uraisi ,vipi madokeo ya kila kituo yanajulikana baada ya umalizikaji wa kupiga kura katika kituo husika halafu leo uambiwe usitangaze nani kashinda katika […]
The post Ni kwa nini ccm wameshikilia kura za uraisi tu zisitangazwe kwenye vituo vya kupigia kura? appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Uchaguzi wa Rais: Wanigeria kuamua kesho
11 years ago
Dewji Blog08 May
Rais Kikwete awapa rambirambi Wanigeria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa salamu za rambirambi na pole nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Nigeria Mheshimiwa Goodluck Jonathan na wananchi wa Nigeria kufuatia mfululizo wa vitendo vya ugaidi ambavyo vimepoteza maisha ya maelefu ya wananchi wa nchi hiyo na kutekwa nyara kwa mamia ya watu wakiwemo wanafunzi wa kike wa sekondari.
Katika salamu zake za pole kwa Rais Jonathan, Rais Kikwete amesema: “Napenda kutoa salamu za rambirambi na pole...
9 years ago
Raia Mwema20 Nov
Tanzania ya Magufuli, imewekeza kwenye nini?
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepatikana.
Mwandishi Wetu