Wanigeria wasifiwa kwa uvumilivu
Wapigaji kura wa Nigeria wapata sifa kwa kuonesha ustahmilivu juu ya shida katika uchaguzi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S5oOR1dkyIkVRPqb3plqonKfw51WM6EDjmlhNoZQutQvpBv6U31CMmkYwLHD35dvd*zqW5H6mjSE-tw2Uj2jUrONi-At4U1s/PicMonkeyCollage.jpg?width=650)
KWA NINI WANIGERIA WANAKIMBIZA KWENYE TELEVISHENI?
10 years ago
Habarileo10 Jun
Urafiki wa Unguja na Ujerumani wasifiwa
USHIRIKIANO kati ya shule ya Mwanakwerekwe ya mjini Unguja na shule ya Bruno-H-Burgel ya mjini Postdam Ujerumani sio tu ni kielelezo cha urafiki na ukaribu wa wananchi wa Zanzibar na Ujerumani, bali pia unadhihirisha dhamira ya kweli waliyonayo wananchi wa nchi hizo ya kuimarisha ushirikiano wao kihistoria.
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Uchaguzi wa Rais: Wanigeria kuamua kesho
11 years ago
Dewji Blog08 May
Rais Kikwete awapa rambirambi Wanigeria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa salamu za rambirambi na pole nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Nigeria Mheshimiwa Goodluck Jonathan na wananchi wa Nigeria kufuatia mfululizo wa vitendo vya ugaidi ambavyo vimepoteza maisha ya maelefu ya wananchi wa nchi hiyo na kutekwa nyara kwa mamia ya watu wakiwemo wanafunzi wa kike wa sekondari.
Katika salamu zake za pole kwa Rais Jonathan, Rais Kikwete amesema: “Napenda kutoa salamu za rambirambi na pole...
11 years ago
Habarileo20 Mar
Wanigeria 3 wadaiwa kukutwa na ‘unga’ kwenye vitabu
RAIA watatu wa Nigeria na Mtanzania, wamekamatwa na polisi jijini Dar es Salaam wakituhumiwa wakitaka kusafirisha dawa za kulevya, zikiwa kwenye vitabu kwenda nje ya nchi. Watuhumiwa hao wanadaiwa walikuwa katika harakati za kutuma dawa hizo kwa kutumia Wakala wa Usafirishaji Mizigo ya DHL kwenda Liberia.
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
‘Wajumbe hawana uvumilivu wa kisiasa’
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Bernadeta Kiliani, amesema kitendo kinachoendelea ndani ya bunge hilo kwa baadhi ya wajumbe kuzomeana na kutosikilizana ni ukosefu wa uvumilivu wa kisiasa. Alisema ni...
11 years ago
Habarileo19 Jan
Kanisa lapongeza uvumilivu Zanzibar
KANISA Katoliki leo linaadhimisha miaka 150 ya Imani Endelevu Katoliki Jimbo la Zanzibar huku likisifu uvumilivu wa kiimani uliokuwapo karne kadhaa na kulaani watu wachache wanaotumiwa kuharibu amani visiwani. Viongozi wa kanisa hilo wamesema matukio ya mwishoni mwa mwaka juzi na mapema mwaka jana ya baadhi ya viongozi wa Kanisa kuuawa kwa kupigwa risasi, kujeruhiwa na wengine akiwamo Shehe kumwagiwa tindikali, yalikusudiwa kuvuruga udugu uliodumu kwa amani karne na karne.
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Dida: Ni uvumilivu unaonisaidia Yanga
9 years ago
Mtanzania30 Nov
Kerr ataka uvumilivu Simba
NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.
Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12, mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...